Jenerali Manara, wanayanga wanasubiri wito na amri yako kuhusu Morrison kufungiwa

Yaani lile tukio wangefanyiwa mashabiki wa yanga na walivyo vilaza wangesema mashabiki wa coastal wazuie yaani ilikuwa yanga kashapigwa moja ilikuwa shabiki wa coastal union akipita mbele ya mashabiki wa yanga walikuwa wanampiga hapo ni ndani lakini sio wachambuzi wa mchongo wala media au takadini waliokemea tukio hilo.
 
Adhabu yenu iko palepale! Hata muwafungie wachezaji 10! Bado tarehe 23 Oktoba, lazima mtatafutana tu uchawi.
Mbona mnajiamini sana na kuwekeza akil zote kwny kumfunga Simba kuna uchawi hapa si bure? Mkimfunga mnyama ndo mtaacha kuwa utopolo? Akili ndogo sana hizi. Ila mm nasema hamtaifunga Simba abadaaani
 
Siku zote Thimba ni mchumba tu kwa Yanga.
Ukiachana na morrson Yanga tuna mawinga zaidi ya 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…