Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Jenerali Mohammad Ali Fath Alizadeh kamanda wa kitengo maalum cha vikosi vya Al-Fatehin wa vikosi vya Basij, aliuawa katika shambulio la Israeli. Alizadeh pia alikuwa naibu kamanda wa vikosi vya ardhini vya Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran.
IDF haitalalq mpaka ifyeke kizazi cha vibaka hawa wote.
Na kila atakayechaguliwa kuziba hilo pengo naye ana anaangamizwa bila huruma yeyote.
Watetezi wa magaidi Adiosamigo mdogoee gallow bird gTurn na Mzee wa UHARO Ritz