Mkuu huu uwezo wa kufanya mauaji hawezi kuzitumia kulinda hilo lango la mafuta likawaa salama?Jenerali Mohammad Ali Fath Alizadeh kamanda wa kitengo maalum cha vikosi vya Al-Fatehin wa vikosi vya Basij, aliuawa katika shambulio la Israeli. Alizadeh pia alikuwa naibu kamanda wa vikosi vya ardhini vya Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran.
IDF haitalalq mpaka ifyeke kizazi cha vibaka hawa wote.
Na kila atakayechaguliwa kuziba hilo pengo naye ana anaangamizwa bila huruma yeyote.
Watetezi wa magaidi Adiosamigo mdogoee gallow bird gTurn na Mzee wa UHARO Ritz
Who are you mpaka unawafundisha pa kupiga?Mkuu huu uwezo wa kufanya mauaji hawezi kuzitumia kulinda hilo lango la mafuta lilitokea salama?
Mahaba niuweWho are you mpaka unawafundisha pa kupiga?
Wao ndiyo wameamua kushughulika na viongozi wa vibaka hao wewe unaumia nini?
Israel imeamua hivyo wanajua Impact yake wewe kama unataja kulinda mafuta nenda kalinde tu!!