Jenerali mstaafu Yair Golan asema hawawezi kuwafuata Hamas ndani ya mahandaki. Nyumba ya Netanyahu yazingirwa na waandamanaji

Jenerali mstaafu Yair Golan asema hawawezi kuwafuata Hamas ndani ya mahandaki. Nyumba ya Netanyahu yazingirwa na waandamanaji

Kwa tafsiri yako umeona kuwa wataingia au hawataingia.
Mimi sio mkalimani.Nilikuwa nasema kama nilivyofahamu na wewe umesema hivyo hivyo
Kwani kazi ya akili ni nini,?!

Ukipambana na nyoka akakimbilia shimoni na wewe unazama humo au unatumia maarifa kumuangamiza huko huko wewe ukiwa nje?
 
Nadhan Bi Mkubwa anapaswa kuwapa angalizo hao waisrael kuhusu usalama wa wabongo ambao wamechukuliwa mateka na hao hamas
Hilo angalizo ni muhimu, ila linafaa kuwasilishwa na Sa100 kwa wafadhili wa Hamasa, yaani Iran, Qatar..
 
Ndo umeandika nini sasa!? Kwamba kutowafata Hamas mashimoni ndo stori!?

Wanaume wanajiachia kwenye ardhi ya Gaza huku wenyeji wakiwa mashimoni, mpaka hapo huo ni ushindi tayari.
Nme assume nikacheka sana! Gafla ikaniijia taswira ya panya
 
Ndo umeandika nini sasa!? Kwamba kutowafata Hamas mashimoni ndo stori!?

Wanaume wanajiachia kwenye ardhi ya Gaza huku wenyeji wakiwa mashimoni, mpaka hapo huo ni ushindi tayari.
Achana na huyo ustaadh maandazi, hajui anakurupuka tu kwamba Hamas ndio mdudu gani, toka 7 oktoba ndio ilikuwa mwisho wao
 
Kwa mujibu wa idf Tangu Israeli waingie Gaza wameshapoteza Askari wao 30 Sasa ikiwa hamas wako mashimoni hao askari wa kiyahudi wameuliwa na Nani?
 
Naona umekimbizwa na kichwa cha habari na kukimbilia kuweka post.
Unasema Mambo yamezidi kuchukua sura mpya, ni Kwa kudhani Majeshi yameshindwa Cha kufanya?

Hapo hapo kwenye bandiko lako general ameongeza yafuatayo:

"The wisdom is to find the entrances and seal them, or send in smoke that will cause the enemy to come out or will harm him,” says Golan.
Hayo maneno ndiyo ya mtu aliye hoi kwenye vita.Ni sawa na kurusha mawe.
Netanyahu jana kamsimamisha kazi waziri wake aliyependekeza watumie nyuklia kuipiga Gaza.Alivyofahamu Netanyahu hilo ni tamko la kukata tamaa kwa waziri wake na kuliaibisha jeshi la IDF.
Kiuhalisia huyo waziri ameona wanapigana na jeshi kama lenye nguvu sana kuliko zao na inabidi watumie nyuklia.Lakini mbona watu tumeambiwa wapo kwenye mahandaki.
Hii vita inashangaza sana.
 
Mbona makala inajieleza vizuri, ila wewe unapotosha? Acheni propaganda basi..

IDF Soldiers won’t enter the tunnels, will turn them into Hamas death traps without going in..​

Tafsiri yangu isiyo rasmi (apologies for any errors):
(Askari wa iDF hawataingia mashimoni, ila watayageuza kuwa mitego ya mauaji kwa Hamas bila wao kuingia humo)

“The wisdom is to find the entrances and seal them, or send in smoke that will cause the enemy to come out or will harm him,” says Golan.

(Busara ni kutafuta malango na kuyaziba, au kuingiza moshi ili maadui watoke au waumie...)

“Take my word for it. The IDF has the capabilities today to deal effectively with the tunnels. It has all the knowledge and the means. If Hamas stays in the tunnels, they will become a death trap.”

(Zingatia maneno yangu, iDF wana uwezo wa kushughulika kikamilifu na hayo mahandaki. Wana ufahamu wote na vitendea kazi. Kama Hamas wakiendelea kukaa ndani ya mahandaki, yatakuwa mitego yao ya kifo..)
Taratiibu baba

Umeua nzi kwa nyundo[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambayo haikutarajiwa katika vita vinavyoendelea Gaza.

Kwanza general mtaafu wa jeshi la IDF aliyepewa kazi kuongoza kikosi cha wastaafu wenzake,Yair Golan amesema vikosi vya IDF visije vikajaribu kuwafuata wapiganaji wa Hamas kwenye mashimo yao. Huo ni mtego mbaya kwani Hamas wamekaa wanasubiri.


============

Former deputy IDF chief of staff Yair Golan says that “under no circumstances” should or will IDF soldiers enter Hamas’s terror tunnels, as the army broadens its ground operation to destroy Hamas’s military capabilities.

In an interview with Army Radio, the reserves general says, “You don’t need to go into the tunnels” and “it would be a grave mistake to enter the tunnels” where Hamas is hiding out and waiting.

“The wisdom is to find the entrances and seal them, or send in smoke that will cause the enemy to come out or will harm him,” says Golan.

“Under no circumstances do you fight in the tunnels… where there is no chance that you won’t get hurt. You don’t fight inside the tunnels, you counter the threat of the tunnels,” he says.

When it is put to him that Hamas is capable of remaining inside its vast underground tunnel network “forever,” Golan says: “Take my word for it. The IDF has the capabilities today to deal effectively with the tunnels. It has all the knowledge and the means. If Hamas stays in the tunnels, they will become a death trap.”

Golan, who headed south on October 7 and joined in the fighting against the terrorists rampaging across the western Negev, elaborated: “The moment that we get to the tunnels, or regarding the tunnels we’ve already reached, they become a death trap for the enemy. From the moment the entrances are found, the full advantage is with the attacking forces.”

Asked whether the IDF would have to enter Shifa Hospital to expose and deal with the tunnel entrances there, Golan said he did not know how the fighting would play out. And he stressed the two imperatives of battling Hamas and freeing the hostages.

Asked whether he would favor a deal whereby the hostages are freed in return for the Hamas leadership being given safe passage to Iran, Syria or elsewhere, Golan said: “If only. If we can get to a situation where the Hamas leaders sail away and our hostages are freed, that would be almost too good to be true.”

He stressed that “nobody knows what is realistic” in terms of any such deal. But he adds: “Are we ready to pay a heavy price for the release of the hostages? The answer is yes.”

When he is asked about US President Joe Biden’s support for a pause in Israel’s offensive to enable the release of the hostages, Golan says, “Anything that enables the speedy release of the hostages would be blessed,” but he doesn’t think it will be that simple. He notes that Hamas is not the only force holding hostages. So, too, are other terror groups and clans, he says.

Source: The Times of Israel

============

Huko Tel Aviv kundi la waandamanaji hapo juzi waliizingira nyumba ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu.Miongoni mwa waandamanaji hao ni wale wanaopinga vita vya kuangamiza watu na wengine ni wale waliokuwa wakidai ndugu zao waliotekwa na kuahidiwa kurudishiwa mapema iwezekanavyo.

------------

ERUSALEM, Nov 4 (Reuters) - Police held back protesters outside the residence of Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu on Saturday, amid widespread anger at the failures that led to last month's deadly attack by Hamas gunmen on communities around the Gaza Strip.

Waving blue and white Israeli flags and chanting "Jail now!", a crowd in the hundreds pushed through police barriers around Netanyahu's residence in Jerusalem.

The protest, which coincided with a poll showing more than three quarters of Israelis believe Netanyahu should resign, underlined the growing public fury at their political and security leaders.

Netanyahu has so far not accepted personal responsibility for the failures that allowed the surprise assault which saw hundreds of Hamas gunmen storm into southern Israel on Oct. 7, killing more than 1,400 people and taking at least 240 hostage.

As the initial shock has faded, public anger has grown, with many families of the hostages held in Gaza bitterly critical of the government response and calling for their relatives to be brought home.

In Tel Aviv, thousands demonstrated, waving flags and holding photographs of some of the captives in Gaza and posters with slogans like "Release the hostages now at all costs" while crowds chanted, "bring them home now".

Ofri Bibas-Levy, whose brother, along with his four-year-old son Ariel and 10-month-old son Kfir were taken hostage by Hamas, told Reuters that she came to show support for her family.

"We don't know where they are, we don't know what condition they are kept in. I don't know if Kfir is getting food, I don't know if Ariel is getting enough food. He is a very small baby," said Bibas-Levy.

Since the attack, Israel has launched an intense air and ground offensive in Gaza, killing more than 9,000 people, health authorities in the Hamas-run area say, and reducing large areas of the enclave to rubble.

Even before the war, Netanyahu had been a divisive figure, fighting corruption charges, which he denies, and pushing through a plan to curb the powers of the judiciary that brought hundreds of thousands to the streets to protest.

On Saturday, a poll for Israel's Channel 13 Television found 76% of Israelis thought Netanyahu, now serving a record sixth term as prime minister, should resign and 64% saying the country should hold an election immediately after the war.

When asked who is most at fault for the attack, 44% of Israelis blamed Netanyahu, while 33% blamed the military chief of staff and senior IDF officials and 5% blamed the Defense Minister, according to the poll.

Source: Reuters
Wao hanas wawndelee kuishi mashimoni wakati wababe wao wakiiahi katika nyumba walizozikimbi.
Wakati ukifika kama njaa haitawaleta juu kutafuta chochote basi ni kutumbukiza bomu ka kuangamiza ndani ya hilo shimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ndo maana wafrika tunaibiwa, Kwa hiyo general wa kuongoza vita ndo atoe na kuanika Siri zote na mikakati Yao vita kwenye media, kumbuka kipindi Cha vita ukiambiwa hatushambulie ujue wanashambulia, ukiambiwa tunashambulia ujue hawashambulie, harafu kwa akili yako huyo Mzee mstafu ndo aingie kwenye mahandaki na kupambana na magaidi? Hawa hata front hawaingii kupigana, KAZI Yao ni kushauli na kupanga mikakati na kuwaambia vijana wa IDF faya hiki, hiki usifanye. Unaona hapo ana siraha, hizo ni kwa ajili ya ulinzi ikitokea emergency.
Ajielewi uyo na stori zake za kutunga
 
Waingie tu humo mashimoni.
Wamewapulizia sumu kwenye hiyo mishimo Jeshi la IDF waingie kufuata nini.shombo la maiti za Hamas waliokufa kwa kupuliziwa sumu au?
 
Usikute jeshi la Israel linalinda mashimo matupu na kuingia wanaogopa. Utakuta Hamas wameshasepa kwa kupitia njia za chini.
Unaweza kukuta Hamas waliobakiia kwenye mahandaki ni wachache na kazi yo ni kulichanganya jeshi la Israel
 
Back
Top Bottom