Jenerali mstaafu Yair Golan asema hawawezi kuwafuata Hamas ndani ya mahandaki. Nyumba ya Netanyahu yazingirwa na waandamanaji

Kwa tafsiri yako umeona kuwa wataingia au hawataingia.
Mimi sio mkalimani.Nilikuwa nasema kama nilivyofahamu na wewe umesema hivyo hivyo
Kwani kazi ya akili ni nini,?!

Ukipambana na nyoka akakimbilia shimoni na wewe unazama humo au unatumia maarifa kumuangamiza huko huko wewe ukiwa nje?
 
Nadhan Bi Mkubwa anapaswa kuwapa angalizo hao waisrael kuhusu usalama wa wabongo ambao wamechukuliwa mateka na hao hamas
Hilo angalizo ni muhimu, ila linafaa kuwasilishwa na Sa100 kwa wafadhili wa Hamasa, yaani Iran, Qatar..
 
Ndo umeandika nini sasa!? Kwamba kutowafata Hamas mashimoni ndo stori!?

Wanaume wanajiachia kwenye ardhi ya Gaza huku wenyeji wakiwa mashimoni, mpaka hapo huo ni ushindi tayari.
Nme assume nikacheka sana! Gafla ikaniijia taswira ya panya
 
Ndo umeandika nini sasa!? Kwamba kutowafata Hamas mashimoni ndo stori!?

Wanaume wanajiachia kwenye ardhi ya Gaza huku wenyeji wakiwa mashimoni, mpaka hapo huo ni ushindi tayari.
Achana na huyo ustaadh maandazi, hajui anakurupuka tu kwamba Hamas ndio mdudu gani, toka 7 oktoba ndio ilikuwa mwisho wao
 
Kwa mujibu wa idf Tangu Israeli waingie Gaza wameshapoteza Askari wao 30 Sasa ikiwa hamas wako mashimoni hao askari wa kiyahudi wameuliwa na Nani?
 
Hayo maneno ndiyo ya mtu aliye hoi kwenye vita.Ni sawa na kurusha mawe.
Netanyahu jana kamsimamisha kazi waziri wake aliyependekeza watumie nyuklia kuipiga Gaza.Alivyofahamu Netanyahu hilo ni tamko la kukata tamaa kwa waziri wake na kuliaibisha jeshi la IDF.
Kiuhalisia huyo waziri ameona wanapigana na jeshi kama lenye nguvu sana kuliko zao na inabidi watumie nyuklia.Lakini mbona watu tumeambiwa wapo kwenye mahandaki.
Hii vita inashangaza sana.
 
Taratiibu baba

Umeua nzi kwa nyundo[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wao hanas wawndelee kuishi mashimoni wakati wababe wao wakiiahi katika nyumba walizozikimbi.
Wakati ukifika kama njaa haitawaleta juu kutafuta chochote basi ni kutumbukiza bomu ka kuangamiza ndani ya hilo shimo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajielewi uyo na stori zake za kutunga
 
Waingie tu humo mashimoni.
Wamewapulizia sumu kwenye hiyo mishimo Jeshi la IDF waingie kufuata nini.shombo la maiti za Hamas waliokufa kwa kupuliziwa sumu au?
 
Usikute jeshi la Israel linalinda mashimo matupu na kuingia wanaogopa. Utakuta Hamas wameshasepa kwa kupitia njia za chini.
Unaweza kukuta Hamas waliobakiia kwenye mahandaki ni wachache na kazi yo ni kulichanganya jeshi la Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…