Jenerali Muhoozi: Hakuna wa kunipiga marufuku kwa chochote

Jenerali Muhoozi: Hakuna wa kunipiga marufuku kwa chochote

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1666187572928.png

Ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku chache tangu Rais Museveni ambaye ni baba yake kumuombea msamaha na kumtaka ajiondoe Twitter kutokana na kauli zake za kuliteka Jiji la Nairobi

Akijibu mahojiano aliyofanya Rais Museveni na kituo cha TV cha KTN, Jenerali Muhozi kupitia Twitter ameandika "Nimesikia mwanahabari fulani kutoka Kenya alimwomba baba yangu anipige marufuku kutumia Twitter? Huo ni utani fulani? Mimi ni mtu mzima na hakuna mtu atanipiga marufuku kwa chochote!"

Muhoozi anayehusiswa na kumrithi Rais Museveni amekuwa akitoa kauli zinazozua mijadala ikiwemo kuagiza askari wamkamate mwanamke aliyepingana nae mtandaoni akiahidi kuwapa ng'ombe watakaofanikisha hilo.

============================

Ugandan General Muhoozi Kainerugaba says "no one will ban him from anything" a day after his father, President Yoweri Museveni, directed that he stops commenting on government affairs on Twitter.

The president's intervention followed Gen Kainerugaba's controversial tweets a fortnight ago where he threatened to invade neighbouring Kenya, prompting a public apology and diplomatic meetings to reaffirm ties.

On Monday, the president said the general would steer clear of "talking about other countries and partisan politics of Uganda" on Twitter.

But in a riposte hours later, Gen Kainerugaba wondered whether such a gag was "some kind of joke".

Gen Kainerugaba is known for his controversial tweets, including expressing support for Russia's invasion of Ukraine, and Tigrayan rebels fighting the Ethiopian government.

BBC
 
View attachment 2391720
Naomba mtu mmoja aniambie kwanini huyo kijana anaitwa muhozi kainerugaba bada ya kuitwa muhozi yoweri kaguta museveni
Sina uhakika sana ila Nchi kama Burundi mtoto sio lazima aitwe jina la Baba yake kama huku kwetu.

Anaweza akaitwa vyovyote tu mzazi anavyoona inampendeza

Sijui kwa huko Uganda
 
Kitendo cha mtoto wa Museveni kubisha wazi kuwa siyo baba yake wala mtu yeyote ana mamlaka ya kumwambia nini afanye/asifanye... ni ishara kuwa sasa kijana anaanza kumtoa mchezoni dingi mdogo mdogo. Museveni anaonekana hana mamlaka hata kwa mwanaye.
 
sina uhakika sana ila Nchi kama Burundi mtoto sio lazima aitwe jina la Baba yake kama huku kwetu.

Anaweza akaitwa vyovyote tu mzazi anavyoona inampendeza

sijui kwa huko Uganda
Upo sahihi kabisa..... Wale kati ya majina yao matatu kwanza linaanza jina la ukoo au baba au jina la kikabisa afu linafata jina lako...

Kuna uwezekano mkubwa saana jina la baba kutokuwepo kama haukulitumia...

Example.

Jina la kikabila Nsamba.
Jina lake la kitasha John.

Kwenye cheti anaandika.

Nsamba John.

Na inakubalika kiserikal na ndio utaratibu wao.
Jina haimati kule
 
Akikamata nchi atafanya kama alichofanya Iddy Amini. Ni suala la muda tu.
 
View attachment 2391720
Naomba mtu mmoja aniambie kwanini huyo kijana anaitwa muhozi kainerugaba bada ya kuitwa muhozi yoweri kaguta museveni
Waganda system zao za kuita majina Ni tofauti Sana na sisi,Kule unaweza kukuta watoto wote ndani ya familia 1 wanaitwa majina tofauti tofauti na Wala hayana ubini wa baba.
 
Back
Top Bottom