Jenerali Muhoozi: Hakuna wa kunipiga marufuku kwa chochote

Jenerali Muhoozi: Hakuna wa kunipiga marufuku kwa chochote

Adabu mbaya ya Kijana wa Museven ni mwanzo mzuri kwa mustakabal wa siasa za Uganda.

Urais hautatafutwa msituni tena,bali mezani
 
Kitendo cha mtoto wa Museveni kubisha wazi kuwa siyo baba yake wala mtu yeyote ana mamlaka ya kumwambia nini afanye/asifanye... ni ishara kuwa sasa kijana anaanza kumtoa mchezoni dingi mdogo mdogo. Museveni anaonekana hana mamlaka hata kwa mwanaye.
Hii imepangwa kiufundi wakishirikiana na Baba yake, kwa maneno mengine ni namna ya kuwa fanyia induction Ugandans na na wengineo kwa jambo linalokuja hivi karibuni..

Wameona waje kinyumenyume!
 
View attachment 2391720
Naomba mtu mmoja aniambie kwanini huyo kijana anaitwa muhozi kainerugaba bada ya kuitwa muhozi yoweri kaguta museveni
Inaweza kua ni jina la kikabila
Mfano wahaya nao wana hiyo kitu, mtoto kama anaitwa martin na baba take ni Imani basi ataitwa Martin jina la kati linakua lake LA kikabila na LA mwisho ndo LA baba yake.
 
Ukimsikiliza huyu mtoto wa Museven vitu anavyoongea na yeye ndio rais anayefuata Uganda nawaonea huruma sana waganda jamaa hajitambui kabisa
 
Atatwaa madaraka kimchongo. Naona yeye na Mzee wake wametengeneza bifu la kiaina kama lile la Uhuru na Ruto
 
Kweli bifu huenda ni man-made..cha ajabu ana mafungamano sana na PK, eti anamuita 'ankal', hawa jamaa sijui wanapanga nini ..
 
Akifanya hivyo hayo mapinduzi yatakuwa planned na baba yake mwenyewe.
Hakuna mbaya! kijana anafaa yule,tena tumepanga awe Raisi wa kwanza wa nchi ya shirikisho ya Africa Mashariki mpya! mimi nitakuwa Waziri mkuu,

hawa Rais wa sasa watakuwa wakuu wa mikoa, ya nchi zao, Ikulu Lazima iwe kati kati ya shirikisho, kwanza hana Makuu km toto la jiwe!...Ethiopia, Eritrea, Somalia, ushelisheli. comoro, Mayote, Equatorial Guinea!

Hawa watajiunga kwa Machozi ya damu watake wasitake!...........sisi ndo sisi tumeamua kufanya ivo! ni bora, sisi tufe, tusiiishi kuliko hii jumuiya, ambayo ndo nchi ya EAC, ikifa kwenye macho yetu!

Muhozi kainerugaba kamwe hawezi kuzuiwa kuongoza EAC eti tu kwa sababu Baba yake alikuwa Rais! Noooo! Dogo alikuwa na maono tkea kitambo kapigana bega kwa bega! na baba yake!

Naomba msitupangie na siwezi mzuia mtoto wangu asiiingie kwenye Siasa wkt ana uwezo, Nia , na sababu za kufanya ivo! km mwanangu akiniiga Matendo yangu mema Kuna ubaya gani!

na ukichunguza saaana yale yaliyo kuwa maoga ya kujitolea kuikomboa Uganda ndo yana maneno maneno meeengi!! yanaongea usiku na mchana!......wangapi wamekufa ajili ya kuikomoa Uganda?

hawa wamepona lazima washukuriwe! kwa mchango wao!..waliokufa kwa ajili ya michango yao wakumbukwe pia!...Wabaya wakumbukwe kwa Ubaya wao pia! ili asiwepo mtu mbaya km huyo jiwe!
 
Back
Top Bottom