Akifanya hivyo hayo mapinduzi yatakuwa planned na baba yake mwenyewe.
Hakuna mbaya! kijana anafaa yule,tena tumepanga awe Raisi wa kwanza wa nchi ya shirikisho ya Africa Mashariki mpya! mimi nitakuwa Waziri mkuu,
hawa Rais wa sasa watakuwa wakuu wa mikoa, ya nchi zao, Ikulu Lazima iwe kati kati ya shirikisho, kwanza hana Makuu km toto la jiwe!...Ethiopia, Eritrea, Somalia, ushelisheli. comoro, Mayote, Equatorial Guinea!
Hawa watajiunga kwa Machozi ya damu watake wasitake!...........sisi ndo sisi tumeamua kufanya ivo! ni bora, sisi tufe, tusiiishi kuliko hii jumuiya, ambayo ndo nchi ya EAC, ikifa kwenye macho yetu!
Muhozi kainerugaba kamwe hawezi kuzuiwa kuongoza EAC eti tu kwa sababu Baba yake alikuwa Rais! Noooo! Dogo alikuwa na maono tkea kitambo kapigana bega kwa bega! na baba yake!
Naomba msitupangie na siwezi mzuia mtoto wangu asiiingie kwenye Siasa wkt ana uwezo, Nia , na sababu za kufanya ivo! km mwanangu akiniiga Matendo yangu mema Kuna ubaya gani!
na ukichunguza saaana yale yaliyo kuwa maoga ya kujitolea kuikomboa Uganda ndo yana maneno maneno meeengi!! yanaongea usiku na mchana!......wangapi wamekufa ajili ya kuikomoa Uganda?
hawa wamepona lazima washukuriwe! kwa mchango wao!..waliokufa kwa ajili ya michango yao wakumbukwe pia!...Wabaya wakumbukwe kwa Ubaya wao pia! ili asiwepo mtu mbaya km huyo jiwe!