Jenerali Muhoozi yamkuta mazito baada ya kumtishia balozi wa Marekani

Jenerali Muhoozi yamkuta mazito baada ya kumtishia balozi wa Marekani

The problem is that Mr. Museveni is running the country the way a settler is running his own private plantation in which he can lay off all the employees and declare it bankruptcy.

Museveni by fronting his son as his heir to the throne he illicitly occupies clearly puts the Ugandan future in jeopardy and he must be very wrong if he thinks that Uganda will remain the way it is for the foreseeable future.

The truth is that, those African countries who think that the consistent rigging of the polls can be the insurance to enable them perpetuate their stay in power are only playing with the time bomb and It won't be long before we start seeing military coups happening even in those countries whose governments have never been overthrown before. Only time will tell.
 
Tatizo ya kujihisi una mbavu wakati unatembea mkia ukiwa katikati ya miguu
 
Muhoozi ana ujinga ujinga mwingi, isengukua baba yake ni rais angekua kashafukuzwa jesheni. Majuzi tu katoka kuongea wehu mwingine dhidi ya Kenya.
Siku zake si nyingi kwenye nafasi hiyo. Sema nini ana mafisadi kibao wanaomuunga mkono.
 
Muhoozi Kainerugaba akishakula bange zake ndo alivyo, ila balozi wa USA hakuongea chochote kibaya kiasi cha kuomba radhi.
US supprt on Health and Miltary.....Pigia Mstari kwenye Miltary futa hiyo ya Health.

UG bila US hata M7 hamalizi miezi sita madarakani.

Sasa sijui kwanini Kijana wake anajifanya hajui haya.
 
Eti huyu anaweza Kukaa meza moja na Lt Gen Herz Halevi kisa wote ni ma CDF dharau kabisa hizi.
Herz Halevi is a Lt. Gen. while Muhoozi is a full, four star general! Halevi must salute Muhoozi. Here we go!
 
Mmmmm. Marekani walikuwa watumwa enzi za utumwa. Walikuwa vibarua wa mashamba ya wahindi. Leo wana nguvu? Lkn kila kitu kina change. Kuna siku isreal na America zitakuwa historia wanaohadithiwa wajukuu zetu
Pop cirn sest mbele kbs
 
Herz Halevi is a Lt. Gen. while Muhoozi is a full, four star general! Halevi must salute Muhoozi. Here we go!
Uko sahihi kabisa kabisa tena lakini four star ya Muhooz na 3 star ya Halevi ni mbingu na ardhi ,kwa maana ya weledi, uzoefu,ufanisi na majukumu yake kwa ujumla kwahiyo kama kawaida ya majeshi yote Halev atamsalute Muhooz ila ujue wazi kabisa watu hao ni Mbingu na ardhi
 
Sasa sijui kwanini Kijana wake anajifanya hajui haya.
Unakumbuka Ruto Alisema ataacha kutumia Dola ya US !? Baada ya miezi kadhaa akakodi ndege binafsi na kwenda Marekani...!!! Wanatuzuga hawa...kwa kujifanya wana'mkazia' kumbe ana plan yake kibindoni.
 
Muhoozi ana ujinga ujinga mwingi, isengukua baba yake ni rais angekua kashafukuzwa jesheni. Majuzi tu katoka kuongea wehu mwingine dhidi ya Kenya.

Hatari zaidi anataka kumrithi baba ake kiti cha urais
Uganda ipo hatarini sana
 
Back
Top Bottom