Jenerali Muhoozi yamkuta mazito baada ya kumtishia balozi wa Marekani

Jenerali Muhoozi yamkuta mazito baada ya kumtishia balozi wa Marekani

Dunia na vyote vilivyomo ni mali ya mabeberu kataa kubari hata nyie waafrica ni mifugo yao.
 
Hicho "kitu kizito kilichompiga utosini" kiko wapi?

Wacha kujijaza na kujaza wengine ujinga.

Ja wewe ushajazwa ujinga? Hujuwi kusoma? Au jikondoo?
Mpenzi unatumia maneno makali! 🤣🤣🤣
 
Huyu jamaa siku wakimpa uraisi ukanda wa EA hautakuwa salama
 
Huku ndiko kupigwa kitu kizito sana utosini:

View attachment 3120009

Habari ziwafikie wote wenye kuleta fyoko fyoko:

"Chezea wengine siyo beberu!"
Nadhani umenukuu vibaya.

Hii barua inatoka Ikulu inaenda ubalozi wa Us kupiga goti kuwaomba wasijali kuhusiana na kauli ya mtoto pendwa aliyoitoa X.

Kwamba kauli hiyo ingelikuwa na maana kama ingetolewa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje, nd'omaelezo ya barua inavyosema.

Sasa hapo beberu kapokea na hajasema lolote.

Kwa kuwa Serikali ni ya familia hakuna atakachofanywa Cdf na issue imeishia hapo.
 
Huku ndiko kupigwa kitu kizito sana utosini:

View attachment 3120009

Habari ziwafikie wote wenye kuleta fyoko fyoko:

"Chezea wengine siyo beberu!"
Wapumbavu hao kama umeisoma vizuri na kuelewa walichoandika huezi shangilia ,,
Ndio maana China inapendwa Africa misaada ya marekani ni ya kisenge
 
Back
Top Bottom