TANZIA Jenerali Tumainiel Kiwelu afariki Dunia, kuzikwa Mbezi Loius Dar

Huyu Tumainieli kiwelu ndie aliyekua mkuu wa mkoa waa iringa aliyemuua Mwamwindi?
Hujui hata historia ya nchi yako, Mwamwindi alihukumiwa kunyongwa mpaka kufa baada ya kumuua aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Kreluu mwaka 1972.

Marehemu Jenerali Kiwelu atakumbukwa kwa kuongoza operesheni kali ya vikosi vya jeshi LA wananchi na kuyafurusha majeshi ya uvamizi ya nduli IDD Amin kwenye Ardhi ya Tanzania mwaka 1978.

RIP shujaa wa ukweli.
 
Jamaa katika ukuu wa mkoa hakupenda longolongo za watumishi wa umma! Kagera wanamkumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…