TANZIA Jenerali Tumainiel Kiwelu afariki Dunia, kuzikwa Mbezi Loius Dar

TANZIA Jenerali Tumainiel Kiwelu afariki Dunia, kuzikwa Mbezi Loius Dar

Huyu Tumainieli kiwelu ndie aliyekua mkuu wa mkoa waa iringa aliyemuua Mwamwindi?
Duuu. Nadhani unajaribu kutaka kuuliza juu ya aliyekua mkuu wa mkoa wa Iringa, Dr Wilbard Kleruu aliyeuwawa na Mwamwindi. Huyu General Tumainiel Kiwelu (Rtd) hana uhusiano na hiyo habari ya Mwamwindi. Pia Mwamwindi alifariki kwa kunyongwa kutokana na hiyo kesi ya kumuua mkuu wa mkoa Dr Kleruu.
 
Jenerali Tumainiel Kiwelu amefariki tarehe 18 Mei 2021 na atazikwa shambani kwake Mbezi Luis Dar es salaam tarehe 22 May 2021

Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.


View attachment 1792046


View attachment 1792059
Poleni sana wanafamilia, JWTZ na Watanzania kumpoteza Gen. Kiwelu.

Naomba kukumbushwa, mpaka anastaafu ukuu wa mkoa wa Kagera, mtajwa alikuwa na rank ya Maj. Gen. (Mstaafu); ni lini alipandishwa rank na kuwa full Gen. mwenye kumbukumbu naomba mnitujuze.

Maombi na sala zangu faraja ya Mungu alie juu na iwe juu ya wote ambao smiba huu unatuhusu.
 
RIP shujaa wa Tanzania General Tumainiel Kiwelu.

Majukumu mengine aliyowahi kupewa kufuatana na kumbukumbu za intaneti :

Y COMMAND SHIFTS
1. BEGIN UNCLASSIFIED. PRESIDENT NYERERE JULY 10 ANNOUNCED SERIES
OF SHIFTS IN TANZANIAN MILITARY COMMAND, AS FOLLOWS:
BRIGADIER TUMAINIEL NDERANGUSHO KIWELU IS NAMED CHIEF OF STAFF
OF TANZANIAN PEOPLE DEFENSE FORCE (TPDF), REPLACING BRIGADIER
SIMON NKWERA, WHO BECOMES MANAGING DIRECTOR THE NEWLY CREATED
RUFIJI DEVELOPMENT AUTHORITY.
COLONEL MIKE MARWA IS PROMOTED TO BRIGADIER AND NAMED COMMANDER
OF THE TPDF SOUTHERN BRIGADE, REPLACING BRIGADIER KIWELU

COLONEL A. SIMBA IS NAMED TANU PARTY SECRETARY OF WEST LAKE
REGION (AND, IPSO FACTO, REGIONAL COMMISSIONER), REPLACING
COLONEL MARWA.
MR. MOSES NNAUYE, TANU SECRETARY OF SINGIDA REGION (AND NOW
CONFIDENTIAL
CONFIDENTIAL
PAGE 02 DAR ES 02500 150920Z
UNDERGOING MILITARY TRAINING AT MONDULI TANU MILITARY ACADEMY)
CLASSIFIED.
2. BEGIN CONFIDENTIAL. COMMENT: BRIGADIER NKWERA HAS BEEN
KICKED OUT TO A MILITARILY INCONSEQUENTIAL JOB, THUS REFLECTING
AN APPARENT VICTORY FOR COMMANDER IN CHIEF MAJOR GENERAL
ABDULLAH TWALIPO, WITH WHOM NKWERA HAS BEEN QUARRELING FOR SOME
TIME, THOUGH WE DO NOT YET KNOW WHOLE STORY. KIWELU IS DISTINCTLY
A RISING YOUNG STAR, AND PRESUMABLY A PROTAGE OF TWALIPO. HE
WAS A LIEUTENANT COLONEL COMMANDING THE FOURTH BATTALION AT
NACHINGWEA WHEN HE WAS JUMP-PROMOTED TO BRIGADIER AND NAMED
COMMANDER OF THE SOUTHERN BRIGADE LAST FEBRUARY 9. PREVIOUSLY HE
HAD SERVED AS COMMANDER OF THE MONDULI TANU MILITARY ACADEMY.
IT IS NOT KNOWN WHY A NEW TANU SECRETARY (REGIONAL COMMISSIONER)
HAS BEEN NAMED FOR WEST LAKE REGION. THIS REGION, WHICH BORDERS
ON UGANDA, IS CONSIDERED MILITARILY AND POLITICALLY SENSITIVE,
AND ITS LEADERS ARE CHOSEN WITH MORE THAN USUAL
Source : Margaret P. Grafeld Declassified/Released US Department of State EO Systematic Review 06 JUL 2006
 
Hapana

Mamwindi ndiye alimuua RC Kleruu.

Mamwindi alihukumiwa na mahakama kunyongwa hadi kufa!
Aaaha!

Nilikuwa sijaangalia vizuri, kumbe ni wewe?

Asante kwa taarifa iliyonyooka. Mara moja moja huwa akili safi zinakurudia.

Sijui tufanyeje ibaki kuwa hivyo hivyo siku zote!
 
R.I.p Mzee Tumainiel, kizazi hiki cha wajeda kinazidi kuishia!
 
Back
Top Bottom