Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sawa mkuuUnadhani njaa haimuoni!!!? Au unadhani njaa inamuogoga.? Kuna kanuni inasema baadhi ya njaa katika ulimwengu wa tatu zinamilikiwa na baadhi ya wachache ya watu katika limwegu za aina zote. Yawezekana naye yumo kwenye orodha ya wale baadhi ama hayumo!!! (Nawaza tu!!! )
Vijana wanapaswa kujifunza kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kuna umri ukifika unapaswa kujizuia baadhi ya mambo.
View attachment 2290872
View attachment 2290867
Vijana wanapaswa kujifunza kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kuna umri ukifika unapaswa kujizuia baadhi ya mambo.
View attachment 2290872
View attachment 2290867
Depression is real!
Mmmh mdukuzii usha dukuwaaTwaha Ibikizimana katika ubora wake
Kuna watu wanamjenga kwenye wasifu na umbo la kwamba, yeye si muoga. Lakini ukweli ni kuwa, yeye ni muoga tangu mwanzo ya awali. Alipokuwa akisoma Tabora Boys alijibatiza jina kama jenerali ulimwengu huku yeye majina yake ya Twaha Halfan Ikibizimana akiyatupa kwenye kaburi la sahau. Sasa hatujui iwapo na uraia wake wa asili aliukana kama sheria za nchi zilivyo. Au yeye ni kati ya wanaNzengo wenye uraia pacha nyemela.
Lkn pili, yeye ni muoga kwa maana katika serikali ya awamu ya 5, alikuwa hasikiki kana kwamba alikuwa mfu tayari au alisafiri. Hizo ni thibati kwamba yeye ni muoga.
Tatizo ulimwengu alijiona ni sehemu ya system Nyerere pamoja na kujua kasoro zake za uraia Bado alimbeba, Sasa ahamini kama Ile influence haipo Tena anabaki kushambulia hadi marehemu.
Wa
Watanzania wanapenda kusifia hata mlevi mbwa asiyejitambua.Huyu Ni mlevi tu .Kama angekuwa na uwezo lazima Nyerere angenmpa hata cheo cha maana.Lakin hakuna kitu.Huyu ni Jaji wa Mamiss ,mlevi eti naye anaongea utumbo wake mnasema ,ana akili.Kama wenye akili hapa bongo ni Kama Ulimwengu Basi hatuwezi kuendelea.Tutabaki tukibwabwaja mitandaoni
Jenerali anajiona na kuna watu wanamuona kwamba ana akili na hekima lakini ukweli ni kwamba hana. Ni mtu mwenye majuto yake ndani ambayo hataki kuyaweka wazi lakini yanajiweka wazi yenyewe kupitia matamko yake ya kulia lia. Anatamani nchi iendeshwe anavyotaka yeye au anavyotamani yeye. Ana assume ana influence wakati hana hata kidogo.
Serikali awamu ya 5 ulitaka asikike wapi! Muulize Mello alifanywa nini, JF ilikuwa ukiandika kuhusu CCM na serikali Mods hawaweki Post yako na Ban juu, leo umesikia Ban yoyote? Mimi binafsi nilipigwa Ban mara kadhaa. Redio na magazeti uoga ndio ulikuwa wimbo wao, ukiongea na ukaanza kuisema CCM au serikali hata jambo ambalo si baya wanakukata! Sasa ulitaka aseme kupitia wapi?
hawezi kuwa na akili kuliko wengine.
ni mzee mmoja hivi anayejikuta anajua sana.
Duuh umejipaka kinyesi usoni!Vijana wanapaswa kujifunza kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kuna umri ukifika unapaswa kujizuia baadhi ya mambo.
View attachment 2290872
View attachment 2290867
Huyu jamaa alikua pandikizi la mkimbizi wa kitutsi kwenye nchi ya tanzania. Ambition yake ilikua urais. Mkapa alimbaini licha ya yeye kujidai alishiriki kampeni kumuweka madarakani. Baada ya kubainika sio raia na kuwekwa kando tangu hapo ana bifu la kufa mtu na ccm.Vijana wanapaswa kujifunza kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kuna umri ukifika unapaswa kujizuia baadhi ya mambo.
View attachment 2290872
View attachment 2290867
Acha uongo, unajitungia jina halafu unampatia mtu. Hivi mwanafunzi wa form one ana uwezo wa kubadilisha jina kinyemela akiwa shuleni?. Be serious.
Mbona jenarali ulimwengu alikuwa vocal kipindi Cha awamu ya tano mpaka gazeti lake likafungiwa. Au ulitaka apigwe risasi Kama Lissu ufurahie.
Serikali awamu ya 5 ulitaka asikike wapi! Muulize Mello alifanywa nini, JF ilikuwa ukiandika kuhusu CCM na serikali Mods hawaweki Post yako na Ban juu, leo umesikia Ban yoyote? Mimi binafsi nilipigwa Ban mara kadhaa. Redio na magazeti uoga ndio ulikuwa wimbo wao, ukiongea na ukaanza kuisema CCM au serikali hata jambo ambalo si baya wanakukata! Sasa ulitaka aseme kupitia wapi?
Mtu anashinda instagram na facebook atamfahamu ulimwengu. Wasome tu rai 1995- 2005Tatizo la vijana wa sasa kunyweshwa ujinga wa kuaminishwa msema kweli ni adui, hii ilikuwepo wakati wa Nyerere na inajirudia sasa. Ulimwengu alikulia ndani ya vijana wa CCM na miaka hii sijawahi kumsikia kwenye siasa za vyama vyovyote. Wanaokurupuka kuandika ndio kwanza wanamsikia wakidhani anadandia siasa za Tanzania! Nawashauri vijana kabla ya kumuandika tafuteni machapisho ya miaka ya 70 mpaka sasa ili mumfahamu mtu mnayetaka kumuandika.
Acha uongo, Jenerali Aliwahi kuwa mbunge na amewahi kuwa mkuu wa Wilaya Tena kwa kuteuliwa na Nyerere. Kama ni mlevi hilo ni juu yake, lakini usiongee uuu
Acha uongo, Jenerali Aliwahi kuwa mbunge na amewahi kuwa mkuu wa Wilaya Tena kwa kuteuliwa na Nyerere. Kama ni mlevi hilo ni juu yake, lakini usiongee uongo.
Inaonekana huna kumbukumbu yeyote kichwani .Nyerere hawezi kuchafua ushuzi Kama huo kuwa mkuu wa wilaya.Huyo mlevi alichaguliwa na mzee Mwinyi mwaka 1989 kuwa mkuu wa wilaya.Inaonekana huna ufahamu Wala kumbukumbuku yeyote kuwa Mwalimu alitoka madarakani lini.Pili icho cheo Cha ukuu wa wilaya ,ni vyeo vya chini kabisa serikalini.Hata ubunge wa kuteuliwa alipewa wakati wa Mwinyi.Sio JK Nyerere.Hana adhi ya kuwa mbunge mlevi mbwa huyo.Acha uongo, Jenerali Aliwahi kuwa mbunge na amewahi kuwa mkuu wa Wilaya Tena kwa kuteuliwa na Nyerere. Kama ni mlevi hilo ni juu yake, lakini usiongee uongo.
Wee kichwani ziko sawa! Unaambiwa vyombo vya habari vinaogopa kurusha au kuchapisha ikiwa pamoja na JF wewe kwa akili yako ndogo unasema anaogopa, kwani yeye ndiye mchapishaji! Wee bure kabisa.Kwa hiyo kumbe aliogopa mkono wa Bulldozer!!??
Sasa waliokuwa wanasema haogopi, hawakuona hilo!??