Kuna watu wanamjenga kwenye wasifu na umbo la kwamba, yeye si muoga. Lakini ukweli ni kuwa, yeye ni muoga tangu mwanzo ya awali. Alipokuwa akisoma Tabora Boys alijibatiza jina kama jenerali ulimwengu huku yeye majina yake ya Twaha Halfan Ikibizimana akiyatupa kwenye kaburi la sahau. Sasa hatujui iwapo na uraia wake wa asili aliukana kama sheria za nchi zilivyo. Au yeye ni kati ya wanaNzengo wenye uraia pacha nyemela.
Lkn pili, yeye ni muoga kwa maana katika serikali ya awamu ya 5, alikuwa hasikiki kana kwamba alikuwa mfu tayari au alisafiri. Hizo ni thibati kwamba yeye ni muoga.