Jenerali Ulimwengu: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu

1. Jenerali hajikombi, hivyo kumpa cheo siyo rahisi
2. Jenerali Ni msomi wa kweli, siyo nyinyi wa Jalalani Kabudi and Co. LTD..wakati wa kweli wa Mzee Punch na Kiingereza maridadi
3. Sina degree ya Tanzania Kama wewe. Kama huna Western Europe or USA awarded degree then you are useless [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ndiyo maana Tz tumefika hapa
 
Hiyo akili umeipimaje? Kilichomtuma kusoma kiingereza badala ya Physics ni nini? Mwanaume mzima!
Kiingereza kigumu ndiyo maana Tz lร bda wanaokujua Ni wawili au watatu, wengine wanababia...mpร ka ufikirie namba ya kuunda sentence..Soma makala ya Jenerali ya Kiingereza, utapenda
 
Jiwe aliharibu sana hii nchi. Yaani mpaka leo najiuliza Bashite, Mnyeti, Sabaya walidumune kwenye nafasi za uongozi.

Kesho naenda kuona kitovu cha utalii
 
Hiyo akili umeipimaje? Kilichomtuma kusoma kiingereza badala ya Physics ni nini? Mwanaume mzima!
Katika academic world, akili unaipima kwa number of publications in peer reviewed journals and journal ranking...uki publish kwenye Nature, Science and the like, then wewe una akili. Au wasemaje Mchunguzi
 
Ulimwengu anapaswa astaafu na apumzike. Yeye alishakuwa kiongozi mkubwa serikalini na hakuna alichofanya na vizazi vya eneo husika kumkumbuka. Ni sawa na Jaji Waryoba..wapiga kelele. Askofu anapenda kick na makofi.
Astaafu nini ?
 
Wakifika wanachama milioni 10+ kutakuwa na wazo Moja tu safari si ndefu sana
 
Hayo maoni ya Jenerali Ulimwengu ni matunda ya Rais SSH ambaye mara alipoapishwa aliruhusu uhuru wa maoni (freedom of expression/ speech).
Miaka 5 ya Mwendazake Jenerali hakuwahi kupata fursa ya kuongea kitu kama hicho kwa kuwa matokeo yake alikuwa anayajua.

Kwenye nchi ya watu 60 Milioni huwezi kumridhisha kila mtu hususan wale ambao walikuwa wanafaidi awamu iliyotangulia, vyama vya UPINZANI na wale waliokosa fursa kwa namna moja au nyingine.

Binafsi yangu namuona Rais SSH yuko kwenye right perspective kwa namna aliyoweka vipaumbele vyake especially kujenga uchumi. Yeye achape kazi tu wala asihangaike kuridhisha makundi masilahi.

Jenerali yuko overrated na wachache wanaomuona ni genious lakini hana lolote na wala asituletee UJINGA wao wa KIRUNDI hapa.
 
Lugha yake imekua kali kidogo eh?
 
By this post, You are portraying what Jenerali has mounted today! 8 million but only three ideas
 
Burundi Wana akili kuliko nyinyi CCM
 
Huyu mzee tumbaku imemuharibu ubongo

USSR
 
So hujielewi

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ