MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Kila mwenye akili CCM hukimbilia kusema si raia. Si ajabu kaichi hakasogei kwa sababu kanaongozwa na vihiyo.Huyu mrundi asituumize kichwa, ana uraia wa karatasi,hata kesho tunaweza kulichana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mwenye akili CCM hukimbilia kusema si raia. Si ajabu kaichi hakasogei kwa sababu kanaongozwa na vihiyo.Huyu mrundi asituumize kichwa, ana uraia wa karatasi,hata kesho tunaweza kulichana
Wote warundi, asilimia 99 ya ndugu zao wako Burundi, hawa ni mawakala wa nchi ya Burundi wamepewa kazi ya kuvuruga amaniUlimwengu na huyo mnyankole Bagonza waunde chama cha wakimbizi
Ila sidhani kama watakuja!Subiri waje utajibiwa, Ila usitukane
Haya tumekusikia jibu sasa hoja zake...Huyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
Wewe hapo mtaani umewahi kufanya nini cha maana??Ulimwengu anapaswa astaafu na apumzike. Yeye alishakuwa kiongozi mkubwa serikalini na hakuna alichofanya na vizazi vya eneo husika kumkumbuka. Ni sawa na Jaji Waryoba..wapiga kelele. Askofu anapenda kick na makofi.
Wewe kinakuuma nini? Si uende kwa Gwajima ukamuulize kwanza? Yaani akili zenu finyu kama za mjusi kafiri mnachowaza ni kupangia watu cha kupost humu.Askofu wa Chadema Benson Bagonza nae ana kiherehere sana, si agombee tu ubunge maana kaacha kutoa verses za dini sasa kazi yake ni siasa kila kukicha. Benson hajui yeye ni askofu, kachanganikiwa, sasa ni mwanasiasa wa Chadema. Anakesha kutunga sentensi na tungo tata za siasa against CCM tu.
Hawa wataishia kuwa wanafalsafa tuuMWANDISHI wa Habari Mkongwe, Jenerali Ulimwengu leo Septemba 21,2021 amezindua Kitabu chake RAI YA JENERALI jijini Mwanza na kuhudhuriwa na Askofu Benson Bagonza.
𝗛𝗔𝗬𝗔 𝗡𝗜 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗔𝗪𝗔𝗟𝗜𝗬𝗢𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗨𝗭𝗜𝗡𝗗𝗨𝗭𝗜 𝗛𝗨𝗢....
"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu" - Jenerali Ulimwengu
"Hakuna uwezekano wa kizazi chetu kupata maendeleo na kupiga hatua ikiwa kitaendelelea kufundishwa kwa lugha wasioijua na pia wale wanaowafundisha nao hawaijui hiyo lugha"- Jenerali Ulimwengu
"Hakuna swali la kijinga ila majibu ndo ya kijinga"- Jenerali Ulimwengu
𝗔𝘀𝗸𝗼𝗳𝘂 𝗕𝗲𝗻𝘀𝗼𝗻 𝗕𝗮𝗴𝗼𝗻𝘇𝗮
"Mwalimu Nyerere aliwahi kusema marais wazuri waongoze kwa vipindi viwili ili waondoke na uzuri wao, lakini marais wabaya wao wataondolewa na wananchi" - Askofu Bagonza
"Tabia ya watu kusifia viongozi waliopo madarakani kufanywe kama kosa la jinai ili kupunguza watu kujipendekeza kwa viongozi kupata uongozi"- Askofu Bagonza
"Watanzania wanahitaji katiba yenye uwezo wa kuweka na kuwaondoa viongozi madarakani badala ilivyo kwa sasa" - Askofu Bagonza
"Muujiza wa elimu ya Tanzania kiongozi akichaguliwa leo akiwa hajui kitu, akishaingia madarakani kesho yake anakuwa anajua kila kitu"- Askofu Bagonza
"Tunaupungufu mkubwa katika Taifa letu la watu wenye Fikra na Uthubutu; Wapo wenye Uthubutu lakini hawana Fikra, kuna watu unawaona wana Fikra lakini hawana Uthubutu. Makundi haya yanahitaji daraja kuyaunganisha" - Askofu Bagonza
"Aslimia 60 ya wabunge wa CCM waliopo bungeni kwa sasa hawakushinda kura za maoni ndani ya chama chao, hata wanachama wao wanajua na wanaona kabisa hawakuwachagua na hivyo wanaona siyo wa wabunge wao"- Askofu Bagonza
"Bunge la sasa lina utata, kuna mabunge mawili (2), moja lipo mdomoni mwa watu na lingiine lipo mioyoni mwa watu," -Askofu Bagonza
Chanzo; Nipashe Mwanga Wa Jamii #NipasheHabari
Nani wewe na kwa legacy ipi umaeme huyu Askofu? Hata 1/100 ya hekima zake huwezi kuwa nazo!NJAA ZITAKUUWA ASKOFU MCHUMIA TUMBO NAFIKIRI NA SADAKA UNAIBA WEWE
Mwingine huyo hapo👇"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu" - Jenerali Ulimwengu
Haya tumekusikia jibu sasa hoja zake...