Jenerali Ulimwengu: Katiba mpya ni suala tutalojadili bila ukomo, hakuna wa kutuzuia kujadili

Jenerali Ulimwengu: Katiba mpya ni suala tutalojadili bila ukomo, hakuna wa kutuzuia kujadili

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Tumejadili sana suala la katiba mpya na nadhani tutaendelea kujadili zaidi. Lazima tuendelee kujadili kwa uwazi na ukubwa. Hata tukija kuandika katiba mpya na wananchi wakaipitisha, bado tutaendelea kuijadili. Hakuna mtu wa kuzuia hilo- Jenerali Ulimwengu https://t.co/ePitXJSG8g

IMG_20211207_153108.jpg
 
na mabeberu [emoji1787][emoji1787], yaani Tanzania sijui siku hizi imekuaje kikiongelewa kitu kinyume na matakwa au matarajio ya serikali/CCM basi unatumika
Hivi vichwa nazi huna Haja ya kusumbuka nazo;
Kiturilo
Idugunde
Mjingamimi
....
....
....
 
Hivi vichwa nazi huna Haja ya kusumbuka nazo;
Kiturilo
Idugunde
Mjingamimi
....
....
....
😂 hivyi sio vichwa ni mifuko ya nyanya mashalo, kuna yule jina lake ni nambanamba, ussr and the like wanatamani hata mama akijamba wamsifie
 
Back
Top Bottom