Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Na wewe unatumika tena kinyume cha maumbileHuyu anatumika.
Wewe unafanywaje tujulisheHuyu anatumika.
na mabeberu 🤣🤣, yaani Tanzania sijui siku hizi imekuaje kikiongelewa kitu kinyume na matakwa au matarajio ya serikali/CCM basi unatumikaHuyu anatumika.
Vipi wewe mwenzetuHuyu anatumika.
Hivi vichwa nazi huna Haja ya kusumbuka nazo;na mabeberu [emoji1787][emoji1787], yaani Tanzania sijui siku hizi imekuaje kikiongelewa kitu kinyume na matakwa au matarajio ya serikali/CCM basi unatumika
Huyu anatumika.
Comments kama hizi ndizo zinaliangamiza taifa. Maana hazina tija kabisaHuyu anatumika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa saut na hapa nipo kwenye daladalaNa wewe unatumika tena kinyume cha maumbile
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa anatumia,lakini yeye anatumika vyema kwa niaba ya maslahi mapana ya Tanzania ya vizazi vijavyo.Huyu anatumika.
😂 hivyi sio vichwa ni mifuko ya nyanya mashalo, kuna yule jina lake ni nambanamba, ussr and the like wanatamani hata mama akijamba wamsifieHivi vichwa nazi huna Haja ya kusumbuka nazo;
Kiturilo
Idugunde
Mjingamimi
....
....
....
Kwi kwi kwiiiiiii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Na wewe unatumika tena kinyume cha maumbile
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
USSR ni samaki mkavu yule.[emoji23] hivyi sio vichwa ni mifuko ya nyanya mashalo, kuna yule jina lake ni nambanamba, ussr and the like wanatamani hata mama akijamba wamsifie
Akaacha Kikao cha maridhiano kinaendelea akaenda kufanya yake.Yaani tume yako ya uchaguzi ukutangaze umeshindwa?
Jecha aliona isiwe tabu
Hana njaa Kama wewe,hahitaji kusomesha watoto au kiwanja Cha kujenga makazi,Huyu anatumika.