Jenerali Ulimwengu: Katiba mpya ni suala tutalojadili bila ukomo, hakuna wa kutuzuia kujadili

Hana njaa Kama wewe,hahitaji kusomesha watoto au kiwanja Cha kujenga makazi,
Nyie msiyokuwa na mbele Wala nyuma endeleeni kutumika kwa kupewa 7,000 ya kujaza tumbo.
Nje ya mada
 
mbowe hajafungwa Yuko nje serikali tujifunze kitu kamateni na jenerali nawengine tieni ndani kwa ugaidi
 
Huyu ndiye anatakiwa apewe PhD sasa. Siyo unampa msukuma na sitashangaa Jobo akimsifia na kumpongeza pale mjengoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…