Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
miradi yote hii mnayoiona ndugu zangu tunaitekeleza kwa pesa za ndani
mbunge wa hapa hajaja kuwasemea wananchi matatizo yenuAu nasema uongo ndugu zangu? Mbunge wa hapa yuko wapi?
Hayupo?!!! mnaona sasa,mkinipa mpinzani inakosekana koneksheeeeeniii.Au nasema uongo ndugu zangu? Mbunge wa hapa yuko wapi?
Acha kutafuta huruma kwa kutumia. dini!! Kama una hoja mtetee Jiwe !Kwanini watu wa dini fulani ndio zaidi wanamshambulia Sana marehemu
Shida ni watu si katiba. katiba si mwarobaini wa matatizo ya Tanzania na Africa kwa ujumla, watu ndiyo tatizo.Mtazamo wangu:
Shida ipo kwenye katiba na sio mtu. Pale Ikulu hata aende malaika kwa katiba tuliyo nayo, bado atatoka na pembe kama zote.
Na wenye nchi washaliona hilo, wakikubali kubadilisha katiba, ndipo tutakapo toboa.
Ni mataga tu ndiyo yalibaki mazuzu. Sisi tulibaki ngangari na ngunguri.Akitoa mada Kwenye Mkutano wa TCD, Generali Ulimwengu alisema, kuna Mtanzania Mmoja alikufa miaka michache iliyopita alitupulizia uzuzu na wote tukawa mazuzu.
Geberali apewe ulinzi
Tazama Video
Huyo ndiye generali, hapindishi maneno, watu aina hii wamebaki wachache sana tzAkitoa mada Kwenye Mkutano wa TCD, Generali Ulimwengu alisema, kuna Mtanzania Mmoja alikufa miaka michache iliyopita alitupulizia uzuzu na wote tukawa mazuzu.
Geberali apewe ulinzi
Tazama Video
Katiba yetu hairuhusu Kiti cha Raisi kuingiliwa na mamlaka nyingine yoyote, labda Rais mwenyewe aamue kwa utashi wake na kwa mapenzi yake.Shida ni watu si katiba. katiba si mwarobaini wa matatizo ya Tanzania na Africa kwa ujumla, watu ndiyo tatizo.
Katiba tuliyonayo inamfanya Rais kuwa Demigod lakini bado Rais anaona haimtoshi na anaamua kufanya yaliyo nje yake na hakuna muhimili wa kumzuia ilhali miimili hiyo imepewa nguvu sawa na serikali.
Hata leo tukichukua Katiba Ya Us yote bado Rais wa Tanzania anaweza fanya anavyotaka na hakuna wa kumfanya Chochote.
Trump alikuwa akienda kinyume Mahakama inamwambia"STOP". Je, Tanzania tuna mahakama ya kumzuia Rais?.
Shida ni watu si katiba. katiba si mwarobaini wa matatizo ya Tanzania na Africa kwa ujumla, watu ndiyo tatizo.