Jenerali Ulimwengu: Maridhiano ya nani na nani? CHADEMA ipo lockup Ukonga

Jenerali Ulimwengu: Maridhiano ya nani na nani? CHADEMA ipo lockup Ukonga

Maridhiano gani..kwani CHADEMA walishiriki uchaguzi ulioleta maafa? Baada ya vifo ndio maridhiano yafanyike..kwa nini hayakufanyika kabla ya vifo kutokea? Maridhiano ya aina hii ni maigizo..ni ya kuombea hela na ķulegeza vikwazo vilivyowekwa..bora yasiwepo!
Aulizwe, huyo anayetaka sana haya maridhiano baada ya kutenda maovu, kwa nini pawepo na umuhimu wa maridhiano sasa hivi kuliko wakati kabla ya mauaji aliyoyafanya mwenyewe, baada ya kukataa kila juhudi iliyofanywa ili pawepo na maafikiano ya kufanya marekebisho ya sheria ili pawepo na uchaguzi ulio huru?

Kanyang'anya madaraka kwa nguvu, na kuua waTanzania, sasa ndipo anataka maridhiano ambayo yeye ndiye atakuwa anayasimamia maridhiano hayo?

Hii ni akili ya namna gani hii?
 
aongee hili

Polisi wakiichachia ccm na ukonga wakiichachia chadema ,ni hatua Moja Kwenda maridhiano

Ili yafanyike CDF ,IGP na wachini yake wanatakiwa kujiuzuru kwenye nafasi zao

tatu ,ili yafanyike mtu kati lazima awepo. Ccm hua haichelewi kuweka mpira kwapani
 
"CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika" Jenerali Ulimwengu
Akili kubwa Sana Jenerali
 
"CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika" Jenerali Ulimwengu
HAPA KATIBA MPYA TUISAHAU KWA AINA HII YA MIVUTANO..SHIKAMOOO SIASA ZA MAJITAKA.
 
Hapa maridhiano ni kati ya serikali na watanzania, Chadema hawahusiki
Obviously there's no "COMMON SENSE" in this.
Serikali haram iridhiane na waTanzania. Are you out of your senses?

Na wala hata haikustui, kujuwa kuwa hao hao unaowaita "serikali" ndio wanaowalilia CHADEMA wakubali maridhiano.

Umesikia CHADEMA wakidai maridhiano?
 
Back
Top Bottom