Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Makes a lot of sense."CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika" Jenerali Ulimwengu
Aulizwe, huyo anayetaka sana haya maridhiano baada ya kutenda maovu, kwa nini pawepo na umuhimu wa maridhiano sasa hivi kuliko wakati kabla ya mauaji aliyoyafanya mwenyewe, baada ya kukataa kila juhudi iliyofanywa ili pawepo na maafikiano ya kufanya marekebisho ya sheria ili pawepo na uchaguzi ulio huru?Maridhiano gani..kwani CHADEMA walishiriki uchaguzi ulioleta maafa? Baada ya vifo ndio maridhiano yafanyike..kwa nini hayakufanyika kabla ya vifo kutokea? Maridhiano ya aina hii ni maigizo..ni ya kuombea hela na ķulegeza vikwazo vilivyowekwa..bora yasiwepo!
Haya ridhianeni sasaHapa maridhiano ni kati ya serikali na watanzania, Chadema hawahusiki
Akili kubwa Sana Jenerali"CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika" Jenerali Ulimwengu
HAPA KATIBA MPYA TUISAHAU KWA AINA HII YA MIVUTANO..SHIKAMOOO SIASA ZA MAJITAKA."CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika" Jenerali Ulimwengu
Obviously there's no "COMMON SENSE" in this.Hapa maridhiano ni kati ya serikali na watanzania, Chadema hawahusiki