peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Sikiliza…..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni ulinganifu wa mada yakeSikiliza…..
Mbuzi unakuwa humjui wwka kumsikia kwa kuww wew si ukiyemfuga lakini binadun unakuwa unamsikia kupitia shughui mbali mbali za jamaa kama anafaa au hafaiSioni ulinganifu wa mada yake
Ulinganifu wa mada yake kama sijakosea ni kwamba wananchi tunachukua muda mfupi sana kuwachunguza kama watatufaa wale tunaowachagua kuwa wawakilishi wetu kwenye taasisi za maamuzi ukilinganisha na muda mrefu watu wanaotumia kumchunguza mbuzi wanaemnunua pale Vingunguti atakaechinjwa siku ya IDD au PASAKA!!!Sioni ulinganifu wa mada yake
Mimi nauita huo kuwa ni weledi wa kitanzania hasa kwa walioaminishwa kuwa ni wanyonge na wanathaminiwa ikiwa wengi wao ni wale wenye uelewa mdogo, wa wastani na hata ule wakati kituambacho kwa uhalisia hakina nafasi kwao zaidi ya kutumiwa na wenye manufaa hao binafsi zaidi na sii ya umma kama wadanganywavyo wadanga nyika.
Sioni ulinganifu wa mada yake
Hata kama ungekuwepo, ni "ulinganishaji" wa kipuuzi sana unaopoteza uzito wa jambo husika.Sioni ulinganifu wa mada yake
Huyu tangu siku ile kagunduliwa sio raia hajawahi sema kitu kizuri kuhusu ccm na serikali yake. Hata ukimamsha usiku hajajua unamuuliza nini kuhusu ccm atasema 'no'. Anajidai ndio anajua kila kitu 😂😂
Hahaahahhahahahhaahhahaahahhahahahaahahhahahhahahahhahaahhahahahahahhaahaahah hizi mbuzi zinazoongoza nchi tuwe tunazikagua
Huyu tangu siku ile kagunduliwa sio raia hajawahi sema kitu kizuri kuhusu ccm na serikali yake. Hata ukimamsha usiku hajajua unamuuliza nini kuhusu ccm atasema 'no'. Anajidai ndio anajua kila kitu 😂😂
Wananchi hatupewi nafasi ya kuchagua viongozi wetu. Uchaguzi wa 2020 wabunge wote walipitishwa na Polepole na Bashiru na kupata baraka ya mwendazake. Kilichofuatia wengi walipita bila kupingwa.Ulinganifu wa mada yake kama sijakosea ni kwamba wananchi tunachukua muda mfupi sana kuwachunguza kama watatufaa wale tunaowachagua kuwa wawakilishi wetu kwenye taasisi za maamuzi ukilinganisha na muda mrefu watu wanaotumia kumchunguza mbuzi wanaemnunua pale Vingunguti atakaechinjwa siku ya IDD au PASAKA!!!
As a people we are not serious in scrutinizing the caliber of the people we elect!!
Ninaamini una akili za ziada kuliko hizi ulizotumia kuandika hapa.Anachojaribu kusema Ulimwengu ni kuwa kwa Tanzania mbuzi ana thamani kuliko mwanasiasa.Lakini hiyo ni kwa dunia nzima vyakula vina thamani kuliko wanasiassa ndio maana kila nchi ziko mamlaka kibao za kusimamia ubora wa vyakula na uthibitisho wa ubora Kama TFDA,TBS no lakini hakuna mamlaka ya kusimamia ubora na viwango vya mwanasiasa popote duniani kuwa kabla kugombea kuwe na TBS au TFDA au ISO ya kuthibitisha ubora wake .
Atuombe samahani watanzania kote duniani ni hivyo
Weka ushahidiWananchi hatupewi nafasi ya kuchagua viongozi wetu. Uchaguzi wa 2020 wabunge wote walipitishwa na Polepole na Bashiru na kupata baraka ya mwendazake. Kilichofuatia wengi walipita bila kupingwa.
Tume ikiwa huru baada ya katiba mpya hiki kiburi chako hitakwisha.Weka ushahidi
Kura zilipigwa mbona hamkulalamika kuwa mliibiwa kura kituo fulani? Mbona Kama mliibiwa na ushahidi mnao mbona hamkwenda mahakamani walau hata kushtaki tu mkatulia tuli?
Unachoongea hapa ni.umbeya usio na chembe ya ushahidi