Jenerali Ulimwengu: Mtanzania anamkagua vizuri zaidi mbuzi wa kuchinjwa kesho kuliko anavyomkagua kiongozi atakayemtumikia kwa miaka 5

Jenerali Ulimwengu: Mtanzania anamkagua vizuri zaidi mbuzi wa kuchinjwa kesho kuliko anavyomkagua kiongozi atakayemtumikia kwa miaka 5

The speech is not slurred by any chance? Because if it is,inamaanisha Jenerali anaondoka na tutabakia wenyewe kugombana na hii serikali.
Hulu nipo Chanukah reception ya internet siyo nzuri kwa hiyo nilidhan8 speech ya huyu mtu ni slurred.
Lakini nakubaliana na Jenerali. Rais anachaguliwa vipi katika nchi hii?
Anna Makinda alionekana kushangaa sana siku ile alipoona kwamba anatakiwa kumtangaza Magufuli kuwa mgombea urais wa CCM.
Sasa kama yule anashangaa naye yupo serikalini tokea zamani,tokea Awamu ya Kwanza,sisi wengine itakuwaje? Watu wanashangaa mtu fulani amechaguliwa rais,na yule rais mteule naye pia anashangaa kuwa rais.(Halafu when he gets over the shock of being elected president,he becomes a dictator like you never saw)
Hii inapingana na dini ya Abrahamu ambaye alikua anaamini katika nyota. Kama Mungu asipotuongoza tutakuwa miongoni mwa watu waliopotea.
Iweje mtu achaguliwe kuwa rais halafu aanze kushangaa?
Babylonians walikuwa hawana dini. Dini yao wale Chaldeans ilikuwa ni unajimu. Kwamba mtu mambo yake yanamuendea vizuri kufuatana na nyota zake wakati.wa kuzaliwa.
Sasa hatutuomba Sheikh Yahya jr atuambie horoscope ya Samia Suluhu kwa sababu it could be treason kutafuta horoscope ya rais.
But I think you get the drift of meaning.
Nakubaliana na Sheikh Ponda pia. Watoe masheikh gerezani. Dini yetu ni moja,(Hebrew, Christian and Moslem) ambayo imetokakana nilivyosema,from Abraham.
 
Huyu tangu siku ile kagunduliwa sio raia hajawahi sema kitu kizuri kuhusu ccm na serikali yake. Hata ukimamsha usiku hajajua unamuuliza nini kuhusu ccm atasema 'no'. Anajidai ndio anajua kila kitu 😂😂
Sema tangu sikuile aliyobambikiwa sii raia hajawahi ongea jema kwa waliombambikia😂.
 
Sema tangu sikuile aliyonambikiwa sii raia hajawahi ongea jema kwa waliombambikia😂.
Angalia hata alivyosema anatusema watanzania Kama yeye si sehemu ya watanzania . Statement yake tu toka mdomoni inaonyesha sio mtanzania anatuponda yeye akijitoa angesema Sisi watanzania walau tungesema mwenzetu lakini ona alivyoongea
 
Kwakuwa uusehemu ya mliombambikia SII raia, lazima mtetee hoja zenu, kumbuka yeye sii wakwanza kuhojiwa uraia Kwa sababu za kisiasa, na hata baadhi khbambikiwa sii raia.
 
Huyu tangu siku ile kagunduliwa sio raia hajawahi sema kitu kizuri kuhusu ccm na serikali yake. Hata ukimamsha usiku hajajua unamuuliza nini kuhusu ccm atasema 'no'. Anajidai ndio anajua kila kitu [emoji23][emoji23]
Lakini kwa ujumla CCM, kwa kiwango kikubwa, maeneo mengi, imeshindwa kuwapata watu wenye weledi. Ndiyo maana watu waliopo upinzani, tena wengine huko upinzani wanaonekana watu wa kawaida sana, wakitoka upinzani, wakaingia CCM, wanaonekana ni lulu, wanapachikwa vyeo vikubwa. Unadhani ni kwa nini?

Ule utafiti wa TWAWEZA pia ulitoa jibu, ulisema CCM inaungwa mkono zaidi na watu wajinga. Tangu lini mtu mjinga akawa na weledi wa uongozi? Tumefeli kama Taifa kwa sababu tunaongozwa na waliofeli.
 
point sn
 
Mhe. Ulimwengu, najua na wewe unajua kuwa viongozi wetu wa nchi walioko madarakani hawakuingia kwa kutegemea kura, kura zetu zilitupwa. Mgombea mwenza wakati ule ambaye sasa ni Rais aliwahi kusema wakati wa uchaguzi kuwa, kura wapeni upinzani lakini CCM ndiyo itaunda serikali! Na kweli iliunda serikali na bunge lote bila kutegemea kura, sasa tuwachunguze kwa lipi?
 
Wananchi hatupewi nafasi ya kuchagua viongozi wetu. Uchaguzi wa 2020 wabunge wote walipitishwa na Polepole na Bashiru na kupata baraka ya mwendazake. Kilichofuatia wengi walipita bila kupingwa.

Uliyoandika ni kweli lakini ni wananchi hao hao bila kumchungaza kiundani haiba yake ndio waliomchagua Mwendazake ambae nae akawateua Bashiru na Polepole!! Bila Mwendazake kuchaguliwa na wananchi wengine kusingekuwa na Bashiru wala Polepole katika hizo nafasi walizoshika!
 
Tatizo hao viongozi wanawekwa na system hawawekwi na watanzania, hilo sio kosa la watanzania.
Ulimwengu aache kuushangaza ulimwengu.

Wote tumeshuhudia ni jinsi gani viongoz wamepatika mwka jana. Ulikuwa ni Uchafuzi Mkuu. Ni nani anayeamini Gwajima alichaguliwa na wananchi wa Kawe .... hata ndani ya CCM tu wananchi walimkataa. Wakina Mahela na team yake kuwatangaza watu washindi hiyo haimaanishi kuwa wamechaguliwa na wananchi. Ulimwengu kuja na statements kama hizi ni kuharalisha kazi za kina Mahela na team yake ......!!
 
Tatizo hao viongozi wanawekwa na system hawawekwi na watanzania, hilo sio kosa la watanzania.
linakuwa kosa la watanzania kwa kushidwa kupigiania Tume huru na Katiba mpya ili kuweka misingi bora ya namna ya kuwapata viongozi na mambo mengine ya utawala wa nchi.

Tumeshuhudia mtawala mmoja akiharibu uchaguzi na kuweka watu anaotaka yeye nchi nzima na sisi watanzania tukabakia kimya, nafikiri hii ndiyo point ya Mzee Jenerali kwamba haka ndiko ka-uzuzu ketu ka kutotambua nafasi yetu kwamba mamlaka ya nchi yatatokana na wananchi na si vinginevyo.
 
Huyu tangu siku ile kagunduliwa sio raia hajawahi sema kitu kizuri kuhusu ccm na serikali yake. Hata ukimamsha usiku hajajua unamuuliza nini kuhusu ccm atasema 'no'. Anajidai ndio anajua kila kitu 😂😂
Ndugu,
Yaonekana dhahiri kuwa hauna stadi wala uwezo wa kufanya uchambuzi na hata tafakuri. Ama sivyo ungekuwa umejikita zaidi kwenye hoja za kujadili mada, wazo na hatimae ujumbe wake. Lakini wewe umejibanza kwenye kushambulia MTU.
Bahati mbaya kwetu ni kuwa sasa hivi wa aina yenu ndio wanazidi kujitokeza/kuongezeka kwa wingi hata miongoni mwa viongozi wetu.
Angalia hata majadiliano bungeni, hoja za Speaker, Mkuu wa Polisi.....Mkuu wa mhimili uliyojichimbia zaidi.
Mweee hivi Watz tunaelekea wapi kama TAIFA?
 
Back
Top Bottom