Akina mbowe na wabunge zaidi ya 40 wa upinzani walifanikiwa kuwa wabunge kwa kupitia tume ipi na katiba ipi? Si hii hii iliyopo?Tume ikiwa huru baada ya katiba mpya hiki kiburi chako hitakwisha.
Tume ni tawi ma CCM lakini awamu ya tano iliongezewa na jukumu la kutoa mbelewe za CCM.Akina mbowe na wabunge zaidi ya 40 wa upinzani walifanikiwa kuwa wabunge kwa kupitia tume ipi na katiba ipi? Si hii hii iliyopo?
Hata ukimkagua vizuri je, uchafuzi wa 2020 aliuona,ambapo kulikuwa na wabeba mabegi yaliyojaa
Sema tangu sikuile aliyobambikiwa sii raia hajawahi ongea jema kwa waliombambikia😂.Huyu tangu siku ile kagunduliwa sio raia hajawahi sema kitu kizuri kuhusu ccm na serikali yake. Hata ukimamsha usiku hajajua unamuuliza nini kuhusu ccm atasema 'no'. Anajidai ndio anajua kila kitu 😂😂
Angalia hata alivyosema anatusema watanzania Kama yeye si sehemu ya watanzania . Statement yake tu toka mdomoni inaonyesha sio mtanzania anatuponda yeye akijitoa angesema Sisi watanzania walau tungesema mwenzetu lakini ona alivyoongeaSema tangu sikuile aliyonambikiwa sii raia hajawahi ongea jema kwa waliombambikia😂.
Kwakuwa uusehemu ya mliombambikia SII raia, lazima mtetee hoja zenu, kumbuka yeye sii wakwanza kuhojiwa uraia Kwa sababu za kisiasa, na hata baadhi khbambikiwa sii raia.Angalia hata alivyosema anatusema watanzania Kama yeye si sehemu ya watanzania . Statement yake tu toka mdomoni inaonyesha sio mtanzania anatuponda yeye akijitoa angesema Sisi watanzania walau tungesema mwenzetu lakini ona alivyoongea
Lakini kwa ujumla CCM, kwa kiwango kikubwa, maeneo mengi, imeshindwa kuwapata watu wenye weledi. Ndiyo maana watu waliopo upinzani, tena wengine huko upinzani wanaonekana watu wa kawaida sana, wakitoka upinzani, wakaingia CCM, wanaonekana ni lulu, wanapachikwa vyeo vikubwa. Unadhani ni kwa nini?Huyu tangu siku ile kagunduliwa sio raia hajawahi sema kitu kizuri kuhusu ccm na serikali yake. Hata ukimamsha usiku hajajua unamuuliza nini kuhusu ccm atasema 'no'. Anajidai ndio anajua kila kitu [emoji23][emoji23]
Kwanini watanzania tusikatae?Tatizo hao viongozi wanawekwa na system hawawekwi na watanzania, hilo sio kosa la watanzania.
point snLakini kwa ujumla CCM, kwa kiwango kikubwa, maeneo mengi, imeshindwa kuwapata watu wenye weledi. Ndiyo maana watu waliopo upinzani, tena wengine huko upinzani wanaonekana watu wa kawaida sana, wakitoka upinzani, wakaingia CCM, wanaonekana ni lulu, wanapachikwa vyeo vikubwa. Unadhani ni kwa nini?
Ule utafiti wa TWAWEZA pia ulitoa jibu, ulisema CCM inaungwa mkono zaidi na watu wajinga. Tangu lini mtu mjinga akawa na weledi wa uongozi? Tumefeli kama Taifa kwa sababu tunaongozwa na waliofeli.
Polepole na Bashiru wanastahili laana ya mbinguniWananchi hatupewi nafasi ya kuchagua viongozi wetu. Uchaguzi wa 2020 wabunge wote walipitishwa na Polepole na Bashiru na kupata baraka ya mwendazake. Kilichofuatia wengi walipita bila kupingwa.
Mhe. Ulimwengu, najua na wewe unajua kuwa viongozi wetu wa nchi walioko madarakani hawakuingia kwa kutegemea kura, kura zetu zilitupwa. Mgombea mwenza wakati ule ambaye sasa ni Rais aliwahi kusema wakati wa uchaguzi kuwa, kura wapeni upinzani lakini CCM ndiyo itaunda serikali! Na kweli iliunda serikali na bunge lote bila kutegemea kura, sasa tuwachunguze kwa lipi?
Wananchi hatupewi nafasi ya kuchagua viongozi wetu. Uchaguzi wa 2020 wabunge wote walipitishwa na Polepole na Bashiru na kupata baraka ya mwendazake. Kilichofuatia wengi walipita bila kupingwa.
Huyu si tulimrudisha kwao Rwanda na kagame akampa shamba, tatizo ni nini sasa?
Ulimwengu aache kuushangaza ulimwengu.Tatizo hao viongozi wanawekwa na system hawawekwi na watanzania, hilo sio kosa la watanzania.
linakuwa kosa la watanzania kwa kushidwa kupigiania Tume huru na Katiba mpya ili kuweka misingi bora ya namna ya kuwapata viongozi na mambo mengine ya utawala wa nchi.Tatizo hao viongozi wanawekwa na system hawawekwi na watanzania, hilo sio kosa la watanzania.
Ndugu,Huyu tangu siku ile kagunduliwa sio raia hajawahi sema kitu kizuri kuhusu ccm na serikali yake. Hata ukimamsha usiku hajajua unamuuliza nini kuhusu ccm atasema 'no'. Anajidai ndio anajua kila kitu 😂😂
Wa system wanawekwa na hao waliyowaweka. Mapandikizi yanaleta mapandikizi.Tatizo hao viongozi wanawekwa na system hawawekwi na watanzania, hilo sio kosa la watanzania.
Safi kabisaTume ni tawi ma CCM lakini awamu ya tano iliongezewa na jukumu la kutoa mbelewe za CCM.