Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Katika viongozi wachache tuliyobaki nao katika kujenga hoja na kuwa mkweli ni Jenerali Ulimwengu.
Hotuba nyingi za mwanasiasa huyo inanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyokuwa akitoa hoja.
Hongera sana Mheshimiwa Jenerali Ulimwengu na watanzania tutaendelea kusikia na kupokea ushauri wako.
Ushauri wangu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ushauri wa Jenerali Ulimwengu ni muhimu kwa kipindi cha utawala wako katika kurudisha utawala bora katika serikali ya awamu ya sita.
Nasikitika sana kuona Spika Ndugai akiota kama kuwa yupo katika awamu ya serikali ya mwendazake kwa kuendelea kutoa vitisho na ubabe kwa viongozi makini kama Jenerali Ulimwengu.