Jenerali Ulimwengu ni Nyerere wa kizazi kipya

Sasa huyu anaongelea habar za mfu zinatusaidia nini , currently tuna mambo mengi ya kuyasawazisha ambao tuko hai tunakabiliana nayo , kutwa kuisema maiti tuuu, moja ya magenerali bogus kabisa
huyo Generali ni jina lake sio cheo
 
Katika viongozi wachache tuliyobaki nao katika kujenga hoja na kuwa mkweli ni Jenerali Ulimwengu.

Hotuba nyingi za mwanasiasa huyo inanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyokuwa akitoa hoja.

Hongera sana Mheshimiwa Jenerali Ulimwengu na watanzania tutaendelea kusikia na kupokea ushauri wako.

Ushauri wangu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ushauri wa Jenerali Ulimwengu ni muhimu kwa kipindi cha utawala wako katika kurudisha utawala bora katika serikali ya awamu ya sita.

Nasikitika sana kuona Spika Ndugai akiota kama kuwa yupo katika awamu ya serikali ya mwendazake kwa kuendelea kutoa vitisho na ubabe kwa viongozi makini kama Jenerali Ulimwengu.

Huko huko mtaani kwenuu
 
Ndugai must go!
 
Back
Top Bottom