Mteghanyi Kighobo
Member
- Jan 30, 2016
- 55
- 40
huyo Generali ni jina lake sio cheoSasa huyu anaongelea habar za mfu zinatusaidia nini , currently tuna mambo mengi ya kuyasawazisha ambao tuko hai tunakabiliana nayo , kutwa kuisema maiti tuuu, moja ya magenerali bogus kabisa
Ndugu, waonaje ukajibu na kupangua hoja zake kwanza?Huyo siyo mtanzania mbona
Huko huko mtaani kwenuuKatika viongozi wachache tuliyobaki nao katika kujenga hoja na kuwa mkweli ni Jenerali Ulimwengu.
Hotuba nyingi za mwanasiasa huyo inanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyokuwa akitoa hoja.
Hongera sana Mheshimiwa Jenerali Ulimwengu na watanzania tutaendelea kusikia na kupokea ushauri wako.
Ushauri wangu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ushauri wa Jenerali Ulimwengu ni muhimu kwa kipindi cha utawala wako katika kurudisha utawala bora katika serikali ya awamu ya sita.
Nasikitika sana kuona Spika Ndugai akiota kama kuwa yupo katika awamu ya serikali ya mwendazake kwa kuendelea kutoa vitisho na ubabe kwa viongozi makini kama Jenerali Ulimwengu.
Ndugai must go!Katika viongozi wachache tuliyobaki nao katika kujenga hoja na kuwa mkweli ni Jenerali Ulimwengu.