nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,602
- 20,181
Nani kasema mapinduzi ni dhiki?Mzee aache kututisha, wao wamekula maisha kukiwa hamna vita kipindi chao sasa iweje leo atutabirie dhiki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kasema mapinduzi ni dhiki?Mzee aache kututisha, wao wamekula maisha kukiwa hamna vita kipindi chao sasa iweje leo atutabirie dhiki?
Kwa mzee wa miaka 83+ kung'ang'ania madaraka na kutaka atawale mpaka afe si mambo ya kizamani tu, bali ni ya kishamba na kishenzi sana.Mapinduzi ni mambo ya kizamani!
Siku hizi amechukua nafasi ya shehe yahaha?
Mapinduzi ni mambo ya kizamani!
Wale mashahidi wanne wa ambowe Ni wajedaAkihojiwa na kipindi cha BBC kinachorushwa na television ya star TV tarehe 7 mwezi huu kuhusu mapinduzi ya Guinea.
Generali ulimwengu amesema yeye haoni ajabu Kwa Yale yaliyotokea Guinea.
Na akatabiri pia kuwa hali hiyo ya kimapinduzi ya kijeshi itafika Kwa Kwa haraka sana ktk nchi zote zilizo kusini mwa jangwa la sahara.
Alipoulizwa kwann anawaza hivyo alisema kuwa kilichokuwa kinafanywa Na Alpha Konde ya ukandamizaji, dhurumati, kutokujali demokrasia, na ufunjifu wa haki za binadamu ,vitendo hivyo viovu vinafanywa pia Na baadhi ya serikali zilizo kusini mwa jangwa la sahara na nchi zetu za afrika mashariki.
Generali aliendelea kushangaa kuona AU na ECOWAS wakilaani mapinduzi hayo huku wakiwa walishindwa kukemea matendo mabaya ya raisi konde
Alisema hali hiyo ya kimapinduzi ya kijeshi hayana muda mrefu itafika ktk nchi zetu wakati wowote kuanzia sasa
Generali ulimwengu ambae kwasasa ni mtu mzima na mwenye busara ni mtu asiyependa unafiki na hupenda kusema ukweli na maneno yake Mara Nyingi hutimia kama anavyotabiri
Unadhani mapinduzi yakitokea tutabaki kama hivi unachat tu kwa uhuru. Mapinduzi yanaleta dhiki soma historia nchi zilizofanya mapinduzi kama waliishi kwa raha tena.Nani kasema mapinduzi ni dhiki?
Itakuwa rahisi mno kwani kuna mchi moja East Africa robo ya Wakuu wa Mikoa ni Wanajeshi.....😁🤣🤣🙄🙄🙏🙏Akihojiwa na kipindi cha BBC kinachorushwa na television ya star TV tarehe 7 mwezi huu kuhusu mapinduzi ya Guinea.
Generali ulimwengu amesema yeye haoni ajabu Kwa Yale yaliyotokea Guinea.
Na akatabiri pia kuwa hali hiyo ya kimapinduzi ya kijeshi itafika Kwa Kwa haraka sana ktk nchi zote zilizo kusini mwa jangwa la sahara.
Alipoulizwa kwann anawaza hivyo alisema kuwa kilichokuwa kinafanywa Na Alpha Konde ya ukandamizaji, dhurumati, kutokujali demokrasia, na ufunjifu wa haki za binadamu ,vitendo hivyo viovu vinafanywa pia Na baadhi ya serikali zilizo kusini mwa jangwa la sahara na nchi zetu za afrika mashariki.
Generali aliendelea kushangaa kuona AU na ECOWAS wakilaani mapinduzi hayo huku wakiwa walishindwa kukemea matendo mabaya ya raisi konde
Alisema hali hiyo ya kimapinduzi ya kijeshi hayana muda mrefu itafika ktk nchi zetu wakati wowote kuanzia sasa
Generali ulimwengu ambae kwasasa ni mtu mzima na mwenye busara ni mtu asiyependa unafiki na hupenda kusema ukweli na maneno yake Mara Nyingi hutimia kama anavyotabiri
Yaje tu tumechokaAkihojiwa na kipindi cha BBC kinachorushwa na television ya star TV tarehe 7 mwezi huu kuhusu mapinduzi ya Guinea.
Generali ulimwengu amesema yeye haoni ajabu Kwa Yale yaliyotokea Guinea.
Na akatabiri pia kuwa hali hiyo ya kimapinduzi ya kijeshi itafika Kwa Kwa haraka sana ktk nchi zote zilizo kusini mwa jangwa la sahara.
Alipoulizwa kwann anawaza hivyo alisema kuwa kilichokuwa kinafanywa Na Alpha Konde ya ukandamizaji, dhurumati, kutokujali demokrasia, na ufunjifu wa haki za binadamu ,vitendo hivyo viovu vinafanywa pia Na baadhi ya serikali zilizo kusini mwa jangwa la sahara na nchi zetu za afrika mashariki.
Generali aliendelea kushangaa kuona AU na ECOWAS wakilaani mapinduzi hayo huku wakiwa walishindwa kukemea matendo mabaya ya raisi konde
Alisema hali hiyo ya kimapinduzi ya kijeshi hayana muda mrefu itafika ktk nchi zetu wakati wowote kuanzia sasa
Generali ulimwengu ambae kwasasa ni mtu mzima na mwenye busara ni mtu asiyependa unafiki na hupenda kusema ukweli na maneno yake Mara Nyingi hutimia kama anavyotabiri
The naked truth.Akihojiwa na kipindi cha BBC kinachorushwa na television ya star TV tarehe 7 mwezi huu kuhusu mapinduzi ya Guinea.
Generali ulimwengu amesema yeye haoni ajabu Kwa Yale yaliyotokea Guinea.
Na akatabiri pia kuwa hali hiyo ya kimapinduzi ya kijeshi itafika Kwa Kwa haraka sana ktk nchi zote zilizo kusini mwa jangwa la sahara.
Alipoulizwa kwann anawaza hivyo alisema kuwa kilichokuwa kinafanywa Na Alpha Konde ya ukandamizaji, dhurumati, kutokujali demokrasia, na ufunjifu wa haki za binadamu ,vitendo hivyo viovu vinafanywa pia Na baadhi ya serikali zilizo kusini mwa jangwa la sahara na nchi zetu za afrika mashariki.
Generali aliendelea kushangaa kuona AU na ECOWAS wakilaani mapinduzi hayo huku wakiwa walishindwa kukemea matendo mabaya ya raisi konde
Alisema hali hiyo ya kimapinduzi ya kijeshi hayana muda mrefu itafika ktk nchi zetu wakati wowote kuanzia sasa
Generali ulimwengu ambae kwasasa ni mtu mzima na mwenye busara ni mtu asiyependa unafiki na hupenda kusema ukweli na maneno yake Mara Nyingi hutimia kama anavyotabiri
Walimpindua Mugabe, wakampindua Idrisa, wakampindua Yahya Jammeh. Hayatashindikana kwingineUlimwengu yupo sahihi kabisa,jiulize wakati Conde anabadilisha katiba Ecowas na AU walikuwa wapi. Ivory Coast the same Quattara naye kapanua goli na wote waliingia wakiwa wapinzani. Look at what is happening in Cameroon,Rwanda,Uganda,Gabon and in most African countries is beyond incredible. Bad governance,corruption,overstaying in power,poor democracy na undugu kwenye madaraka. Kwa hali tunayoendanayo mapinduzi yataendelea na ni something inevitable kwa majeshi yanayojielewa.
History is learning the past and predict the future. Historia ina tabia ya kujirudia.Anachoongea Jenerali ni sahihi kwa mujibu wa historical calculations wala sio utabiri.
Hauhitaji akili kubwa kuona yajayo East Africa ni km ya Guinea ndio maana Museveni alilaani sana hayo mapinduzi akijua yeye ni next.
A.U. nayo inatakiwa kuondolewa kimapinduzi tu haina maana tena,inalinda maslahi ya madikteta.
Yahya Jammeh hakupinduliwa alipoteza uchaguzi kwa Adams Barrow akakatalia madarakani Ecowas wakatishia kumtoa akakimbia mwenyewe.Walimpindua Mugabe, wakampindua Idrisa, wakampindua Yahya Jammeh. Hayatashindikana kwingine
Huku kwetu yanchelewesha na makadaNatamani kuona hayo yakitokea na huku kwetu
Rejea vita vya Uganda. Mawili uenda ulikuwa haujulikani ama una matatizo ya akili Twaha Ulimwengu sio Ndugai ama Majaliwa.Mzee aache kututisha, wao wamekula maisha kukiwa hamna vita kipindi chao sasa iweje leo atutabirie dhiki?