Jenerali Ulimwengu: Sioni ajabu mapinduzi ya kijeshi Guinea. Yatafika haraka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

Mapinduzi ni mambo ya kizamani!
Kwa mzee wa miaka 83+ kung'ang'ania madaraka na kutaka atawale mpaka afe si mambo ya kizamani tu, bali ni ya kishamba na kishenzi sana.

Mapinduzi ya kijeshi ndio njia pekee iliyobaki maana sanduku la kura halishemiwi hata kidogo na wananchi ni mbumbumbu/cowards wasioweza kujitokeza na kushinikiza ving'ang'anizi kuachia madaraka kwa mujibu wa Katiba.

AU ni akina nani? 95% ni wazee 78+ ambao wapo madarakani kwa wizi, unyang'anyi na udanganyifu. Dictator Konte ni mwenzao na lazima wamtetee.

 
Wale mashahidi wanne wa ambowe Ni wajeda
Tuanzie hapo
 
Itakuwa rahisi mno kwani kuna mchi moja East Africa robo ya Wakuu wa Mikoa ni Wanajeshi.....😁🤣🤣🙄🙄🙏🙏

Ulimwengu ni AKILI KUWA...
 
Kosa alilofanya Alpha Conde ni kugusa maslahi ya wanajeshi hapo ndio shida ilipoanzia...

Alpha Conde na wenzie ujinga hawakuanza leo wala jana, ni miaka mingi sana wanafanya ukandamizaji huu... lakini hao wajeda tunaowasifia walikuwepo na walimlinda kwa nguvu zote..

Utaona hapo shida ni ile ile tu, ubinafsi na unafiki wa WaAfrica kujali matumbo..

Pale Cameroon kuna lijamaa linafanya ufala na wajeda wapo tu wanaliangalia...ila siku yakiguswa maslahi yao nao tutawaita mashujaa.
 
Ulimwengu yupo sahihi kabisa,jiulize wakati Conde anabadilisha katiba Ecowas na AU walikuwa wapi. Ivory Coast the same Quattara naye kapanua goli na wote waliingia wakiwa wapinzani. Look at what is happening in Cameroon,Rwanda,Uganda,Gabon and in most African countries is beyond incredible. Bad governance,corruption,overstaying in power,poor democracy na undugu kwenye madaraka. Kwa hali tunayoendanayo mapinduzi yataendelea na ni something inevitable kwa majeshi yanayojielewa.
 
Yaje tu tumechoka
 
The naked truth.

Wao wanatutawala kama ng'ombe ila wakipinduliwa na wao kama mbuzi wanalalamika.

Umeshindwa kutawala kwa haki jambo linalowezekana utatawaliwa kama ng'ombe sasa.
 
Walimpindua Mugabe, wakampindua Idrisa, wakampindua Yahya Jammeh. Hayatashindikana kwingine
 
History is learning the past and predict the future. Historia ina tabia ya kujirudia.
 
Mzee aache kututisha, wao wamekula maisha kukiwa hamna vita kipindi chao sasa iweje leo atutabirie dhiki?
Rejea vita vya Uganda. Mawili uenda ulikuwa haujulikani ama una matatizo ya akili Twaha Ulimwengu sio Ndugai ama Majaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…