Jenerali Ulimwengu: Sioni ajabu mapinduzi ya kijeshi Guinea. Yatafika haraka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

Mama ajiandae Unguja padogo.
 
Msukosuko wake hautakua mdogo, unaweza kuichafua nchi isitawalike tena na kuvuruga mipango yote. Kila mmoja wetu ataathirika kwa namna moja ama nyingine.

Ikitokea, ipangwe na kuratibiwa vizuri utekelezaji wake, vinginevyo ni shida tupu.
Mkuu, ebu acha kukariri.....
Sio kila mapinduzi lazima damu imwagike, and sometimes lazima tupigane ili tuheshimiane..😎
 
Wale mashahidi wanne wa ambowe Ni wajeda
Tuanzie hapo
Hata kama unadhani mapinduzi ni kitu kidogo ee, fatilieni vizuri,akina Ulimwengu walitakiwa kuwapa upinzani planing nzuri kuhusu kueneza siasa katika hali kama hizi, Imani ya mtu ktk siasa,hakuna wakuibadilisha,kwa hiyo wapinzani waje vizuri na mipango mbadala.
Kutegemea mapinduzi ya kijeshi mpaka CCM wenyewe wafarakane kila mumoja abebe fito ya jengo, ndo tutegemee hayo. Lakn wakikaa wamoja tutahangaika sana kwenye kuwatoa.
Sababu upinzani wenyewe hatuko kitu kimoja,kila mumoja anajiona bora sana. Inaumiza sana, Ulimwengu, Lwaitama na wasomi wengine, wahubili kuleta Falisafa moja ya Upinzani,kwamaa wakubali mawazo mbadala,na changamoto zote wazimalize ndani ya vyama vyao badala ya kunza kufukuzana.
 
Afrika bila wazungu hatusogei, South Sfrica bila Kabuluz wasingelikuwa hapo walipo.
 
Mkuu, ebu acha kukariri.....
Sio kila mapinduzi lazima damu imwagike, and sometimes lazima tupigane ili tuheshimiane..😎

Umesoma vizuri sehem ya mwisho ya andiko langu? Nimetoa angalizo umakini wa mipango na utekelezaji makini wa mapinduzi, kama itabidi ili kuepusha vurumai.

Kama ni lazima damu imwagike au tupigane ili tuheshimiane, kitu gani kinazuia hadi sasa?
 
Msukosuko wake hautakua mdogo, unaweza kuichafua nchi isitawalike tena na kuvuruga mipango yote. Kila mmoja wetu ataathirika kwa namna moja ama nyingine.

Ikitokea, ipangwe na kuratibiwa vizuri utekelezaji wake, vinginevyo ni shida tupu.
Hakuna mapinduzi yanayopangwa na kuratibiwa vizuri, ni maonevu kwa kwenda mbele wala tusijidanganye.

Na wanajeshi wakichukua ndiyo mbaya zaidi, hata wakimuweka raia kutawala, anakuwa controlled na remote tu na wanajeshi.
 
Shida vingozi wetu wanashindwa kusoma alama za nyakati
Huu utabiri wa Jenerali unanikumbusha ya Ghadaffi walimuonya juu ya Arab Revolution akasema kwa jeuri kuwa huku hayatafika...kilichomtokea imebaki kwenye kumbukumbu ya vitabu vya historia....waswahili tunasema...lisemwalo lipo, kama halipo laja
 
Gadafi na sadam waliamini Sana nguvu za kijeshi kuliko umoja wa kitaifa.
Hata uwe na jeshi imara intelligence imara ndani ya taifa lisilo na umoja ni bure.
Unaundiwa vikundi vya waasi vitakuondoa tu.
 
Hao wanajeshi wa guinea uenda walikuwa awanufaiki nadra Sana hii kutokea afrika.
 
Mapinduzi yasikie Kwa jirani tu... Shughuli yake pevu, nchi inakosa muelekeo kabisa...
 
Kwa kweli wametuchelewesha sana
 
Mapinduzi ya Kijeshi sio suala la kupigia debe, labda hapo huyo Mhutu atakaposhika hatamu ndio kutakua na umuhimu lakini tunamuombea Mungu ili afe ndani ya miaka hii ya Samia.
 
Hilo ndo jeshi la wananchi sio SAwa na lile la kukimbia na masanduku ya kura.
 
Hilo ndo jeshi la wananchi sio SAwa na lile la kukimbia na masanduku ya kura.
 
Nchi kama Uganda, Rwanda na sasa Tanzania ni 'candidates' wazuri sana wa hayo aliyoyaelezea Ulimwengu. Nje ya hizo tatu katika maeneo ya huku Afrika Mashariki na Kusini sioni mfano mwingine kwa sasa. Labda Mnangagwa wa Zimbabwe na yeye awe king'ang'anizi!
 
Hilo ndo jeshi la wananchi sio SAwa na lile la kukimbia na masanduku ya kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…