Mwenyezimungu atuepushe na balaa la vurugu na mchafuko ya namna yeyote ileHapa bongo vita vya kidini vinaonekana hivi hapa
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyezimungu atuepushe na balaa la vurugu na mchafuko ya namna yeyote ileHapa bongo vita vya kidini vinaonekana hivi hapa
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
WEZI WA BANDARI = WATANGANYIKA? 😅Kesi iko mahakamani na movement nyingine zinaendelea kisha unasema litapita!, au ndio unaomba lipite kwasababu hujawahi kusema chochote kuhusu unyama waliofanyiwa watanganyika?
Usiishi kwa kukariri, jana sio leo, na leo haitakuwa kesho. Wewe endelea kuvizia tu na siasa zako, nini na wapi useme, pengine unaacha, sisi wengine tunasema pote penye kero za watanganyika.
SIMPENDI KWA NYODO ZAKE, LAKINI NAUNGANA NAWEWE! 😅Mimi binafsi namuheshimu mno Kagame kama mtanzania..
Wakimbizi wa Rwanda toka na tawala mbovu kabla yake walikuwa kutwa wanafurika Tanzania
Toka ashike hajazalisha mkimbizi wa Rwanda kuja Tanzania hata mmoja na waliokuwepo wote kwa hiari wanarudi Rwanda hivyo mpaka wetu na Rwanda ni mmoja wa mipaka bora isiyoingiza wakimbizi ina maana utawala bora nchini kwake uko vizuri ndio maana hakuna wakimbizi wa Rwanda waja nchini kwetu ambao tumekuwa tukiwapokea miaka nenda rudi
Na wakimbizi wengi wa Rwanda walioko nchini husikia raha kurudi Rwanda kwenye utawala wa Kagame na wanajisikia raha kuwa wanyarwanda
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni Kagame kafanya kazi kubwa mno
Ukiniuliza viongozi wakio vizuri Afrika nchi zote za Africa toka zipate Uhuru wa kwanza nitakwambia Nyerere wa pili Kagame
- Nazungumzia issue ya bandari iko mahakamani, usijijibu swali ulilojiuliza mwenyewe kichwani.Kesi ya CAG ipo mahakamani? Si mlisema kitanuka unless waliotajwa kwenye ripoti watakamatwa ghafla imekuja issue ya DP world mmepoa, soon mtasikia Feisal kahamia Simba mnasahau Dp world. Hao ndio waTanzania hayupo serious ni mihemko tu.
Hahahaha acha utani mkuu, hivi issue ya loliondo mliishia wapi? Hivi Kuna anayekumbuka kweli? Mind you watu wamesahau mambo ya Tozo na kelele za bando!! Hao hao wamesahau ripoti ya CAG
Niamini mimi kufikia December Hawa waTanganyika wapenda ngono na simbaYanga watakua busy na kufuatilia Bongo movie sio issue ya DP world.
Tuwe serious tuache mihemko otherwise CCM itaendelea kutuburuza
Nilijua tu utakuja! BAHIMA EMPIREJenerali Ulimwengu hawezi kuongea huo ujinga wako
Magufuli wa nn tena? Mshenzi, muuaji, mporaji , mpiga watu risasi wa nin tena? Hatumtaki jiwe mpya.ila kumpata magufuli sio leo NDANI tanzania.
Kwamba mahakama inaweza kupinga mhimili wa Serikali? Hivi si tulikubaliana mahakama sio huru Sasa ni muujiza gani tunautegemea kwamba wanaweza kubali hoja za Mwabukusi? Yale Yale ya kumbukumbu ndogo tunayosema hapa.Nazungumzia issue ya bandari iko mahakamani, usijijibu swali ulilojiuliza mwenyewe kichwani.
Nipo JF zaidi ya miaka 10 sasa so nimeshaona mada nzito kuliko bandari mfano 2012 Bomba la Mtwara watu walitishia mpaka kupindua nchi, 2015 Kulikua na kelele za mikataba ya gesi na mafuta iliyowapa Mabeberu hisa zaidi ya 80 kwenye vitalu vya gesi za Mtwara!! Watu wakapiga kelele mwezi mzima ila wakasahau mpaka Leo.Issue ya Loliondo nimeshakwambia usiishi kwa kukariri, kama la Loliondo lilipita, la bandari sio lazima lipite pia.
Ukimtoa The Boss wengi humu JF ni wanafiki maana wanatoa maoni kwa kuangalia mrengo waliopo. Mimi ni CHADEMA damu ila mara ngapi nlikua namtetea Maharage chande au January Makamba kuendesha Tanesco ki-private sector hadi mkaniita mlamba asali ila juzi mmesikia imeingiza FAIDA wote mmejificha!! so sijawahi kuwa na hofu kukinzana na maoni ya wengi humu kama naona hoja Ina mashiko.Wewe nimeshakuona kwenye hili la bandari umeamua kufumbia macho na mdomo unyama tuliofanyiwa watanganyika, nimeshakujua rangi zako halisi, hunisumbui kichwa, una siasa za kinafiki.
Kichwa kipi?! Laymen mkipita google mnajiona experts? Ndio tuwaogope?Usichezee kichwa usichokijua
Sijawahi kujadili hiyo mada na wewe sababu ni layman ila Kuna Uzi niliitwa na Proved kuhusu bandari, nilichangia mbona mazuri na madhaifu ya IGA ila kikubwa zaidi nikasema suluhisho la bandari ni ubia na mwekezaji hata kama sio Dp world maana TPA imeshindwa kwa miaka 60 sasa., lakini ukweli ni kwamba, kwenye hili suala la bandari, unapuuza kwa sababu ya tabia yako ya unafiki, kunyamazia uovu
Nilitaka kujibu kila ulichoandika, lakini baada ya kuona unaniwekea historia ya uwepo wako JF tangu 2012, nikaona nisipoteze muda..Kwamba mahakama inaweza kupinga mhimili wa Serikali? Hivi si tulikubaliana mahakama sio huru Sasa ni muujiza gani tunautegemea kwamba wanaweza kubali hoja za Mwabukusi? Yale Yale ya kumbukumbu ndogo tunayosema hapa.
Nipo JF zaidi ya miaka 10 sasa so nimeshaona mada nzito kuliko bandari mfano 2012 Bomba la Mtwara watu walitishia mpaka kupindua nchi, 2015 Kulikua na kelele za mikataba ya gesi na mafuta iliyowapa Mabeberu hisa zaidi ya 80 kwenye vitalu vya gesi za Mtwara!! Watu wakapiga kelele mwezi mzima ila wakasahau mpaka Leo.
Ukimtoa The Boss wengi humu JF ni wanafiki maana wanatoa maoni kwa kuangalia mrengo waliopo. Mimi ni CHADEMA damu ila mara ngapi nlikua namtetea Maharage chande au January Makamba kuendesha Tanesco ki-private sector hadi mkaniita mlamba asali ila juzi mmesikia imeingiza FAIDA wote mmejificha!! so sijawahi kuwa na hofu kukinzana na maoni ya wengi humu kama naona hoja Ina mashiko.
Kinachofanya niepuke mijadala ya kitaalamu na watu lay men sababu wanaongozwa na hisia sio facts. Mimi nipo sana jukwaa la international na intelligence ndio Kuna mada ya moto inaendelea huko embu fungua uone data and facts za wachangiaji alafu njoo ulinganishe na michango kwenye threads za issue ya bandari.
Swali la uchumi: Kwanini vikwazo vya mataifa yenye nguvu kubwa kiuchumi havifanyi kazi dhidi ya Urusi?
Apple Stocks have a lot to with the company itself, than products alone. Kabla mtu hajanunua hisa anaangalia performance ya kampuni mfano Return on Assets, Return on Equity, Net Interest Margins n.k Sasa kama bidhaa zako haizuziki sokoni obvious ratio ya returns to investments itakua ndogo...www.jamiiforums.com
Kichwa kipi?! Laymen mkipita google mnajiona experts? Ndio tuwaogope?
Sijawahi kujadili hiyo mada na wewe sababu ni layman ila Kuna Uzi niliitwa na Proved kuhusu bandari, nilichangia mbona mazuri na madhaifu ya IGA ila kikubwa zaidi nikasema suluhisho la bandari ni ubia na mwekezaji hata kama sio Dp world maana TPA imeshindwa kwa miaka 60 sasa.
Ngoja nitafute Ile link maana ni mwezi uliopita. Otherwise JF ibadilike namna watu wanajadili mada, mfano kama mtu hakubaliani na hoja yako hakuna haja ya kusema kalamba asali sijui kahongwa as if lazima Kila mtu aangalie jambo kwa mtazamo sawa na wako!!
TeteteteteettNilijua tu utakuja! BAHIMA EMPIRE
Sio kweliRwanda INAZIDI Tanzania Kila kitu.
Inashika nafasi ya kwanza kwa NCHI safi zaidi Africa.
Kagame ameibadilisha mno NCHI IMEKUWA TAIFA.
Rwanda wanatuzidi Hadi WAREMBO.
Hoja kama hizi zinapoandikwa unaweza kudhani kuwa huko mtaani moto unawaka na magari ya washawasha wapo kazini kumbe ni mbwembwe zinazoishia humu humu mitandaoni tu.Kesi iko mahakamani na movement nyingine zinaendelea kisha unasema litapita!, au ndio unaomba lipite kwasababu hujawahi kusema chochote kuhusu unyama waliofanyiwa watanganyika?
Usiishi kwa kukariri, jana sio leo, na leo haitakuwa kesho. Wewe endelea kuvizia tu na siasa zako, nini na wapi useme, pengine unaacha, sisi wengine tunasema pote penye kero za watanganyika.