Jenerali wa Marekani asema Ukraine imebakiwa na siku 30 iinue mikono juu

60,000 ammunition per day comparison with 20,000 ammunition.

Utakua chizi kutegemea matokeo. Na mbaya zaidi Russia wanapigana Kwa formula zao. Hivyo training za NATO si lolote mbele ya dubu huyo wa mashariki kaskazini ya ulaya na asia).
Vipi alishamalizana naye? 🤣Nilikuwa kwenye coma
 
WEWE SI UNAWACHUKIA MAKAFIR?????
MBONA MAKAFIR WA KIZUNGU WA URUSI UNAWAUNGA MKONO 🤣🤣🤣???
VIIPI GAZA KUMESHAKUSHINDA AU KICHAPO KIMESIMAMA????
 
Russia kafanikiwa kuvisogeza vita hadi mwaka wa uchaguzi Marekani

Russia ikikomaa inaweza kushinda vita kipindi hiki na ikisubiri hadi Marekani wamalize uchaguzi imekula kwake

Rais wa Ukraine hivi karibuni kazuru Saudia kuomba iwapatanishe na Russia wakati mwanzo alikataa upatanishi hadi Russia iachie maeneo yote inayoshikilia

Ukraine inafanya hivi kama mbinu ya kuchelewesha vita hadi Uchaguzi uishe
 
60,000 ammunition per day comparison with 20,000 ammunition.

Utakua chizi kutegemea matokeo. Na mbaya zaidi Russia wanapigana Kwa formula zao. Hivyo training za NATO si lolote mbele ya dubu huyo wa mashariki kaskazini ya ulaya na asia).
Sasa kama training za NATO si lolote mbona kiev haijaanguka????
Au ndio wazungu wa urusi na wazungu wa ukrane......wanajuana kwa vilemba?????
 
Urusi haiwezi kuachilia maeneno iliyoteka na yashakua ya jamuhuri ya russia........na pia haiwezi kusonga mbele kushinda vita hivyo....!!!
Matokeo ni kila mmoja atasimamia alipoishia...!!!
Labda baada ya PUTIN kufa au miaka 50 mbele ndio hayo maeneo yanaweza kurudi.
 
Danihel.....amzungumziii dubu huyo kama urusi.......tabiri za Myahudi Danihel bado sana kutokea.........Hapo mtumishi umeongea kihisia tu
 
Danihel.....amzungumziii dubu huyo kama urusi.......tabiri za Myahudi Danihel bado sana kutokea.........Hapo mtumishi umeongea kihisia tu
Tunza maneno yangu Nelson; unabii wa Biblia utimizo wake unamuelekeo kama tunaouona sasa. Russia thinks they are winning, but they won’t. Alternatively kwa sababu hii vita ni ya Putin, keep an eye on him. He cannot defy bible prophecy
 
Mkuu sidhani kama Danihel alitabiri kuhusu huyu Putin...,ambae hana miaka 40 mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…