Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mbona hujaulizia wajukuu?Hivi alikuwa na watoto ?
Heri ya mwaka mpya sistaangu
Mbony safo Mandenyi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hujaulizia wajukuu?Hivi alikuwa na watoto ?
Mbona siku hizi kumekuwa na "mfumuko" wa kutusi marehemu ama maiti, utamaduni huu wa hovyo ni wa wapi?Huyu askofu shenzi zake kabisa, hata usingeleta habari zake humu
Alikua akitetea ushoga na Binti yake aliwahi kufunga ndoa na mwanamke mwingine
shenzi zake kabisa
Tunaanzia mbele banaMbona hujaulizia wajukuu?
Heri ya mwaka mpya sistaangu
Mbony safo Mandenyi...
Subiri mtoto wako aje awe shoga utakuja na maneno ya Biblia hapaMbona siku hizi kumekuwa na "mfumuko" wa kutusi marehemu ama maiti, utamaduni huu wa hovyo ni wa wapi?
Du!kumbe kuna binti yake aliwahi kufunga ndoa na mwanamke mwingine?Huyu askofu shenzi zake kabisa, hata usingeleta habari zake humu
Alikua akitetea ushoga na Binti yake aliwahi kufunga ndoa na mwanamke mwingine
shenzi zake kabisa
KabisaDu!kumbe kuna binti yake aliwahi kufunga ndoa na mwanamke mwingine?
Nimeshangaa,sikuwahi kusikia,hapo alifeli vibayaKabisa
Anglican ni kama hicho kitu kipo sijui shida ni niniDu!kumbe kuna binti yake aliwahi kufunga ndoa na mwanamke mwingine?
shida ni sisi tuliopokea utamaduni wa watu tukauacha utamaduni wetu.Anglican ni kama hicho kitu kipo sijui shida ni nini
Kweli kabisa hata mimi hiyo kauli yake ilimpotezea imani kubwa kwa waafrikaHuyu mzee kuna wakati alikuwa mtu bora sana ila tangu aliposema hadharani kwamba ana-support wanaume kwa wanaume kusukumiana vipande vya nyama ngumu nilikuja kumuona kumbe nae ni punguani tu!
Kuna vitu sisi ngozi nyeusi havifai hata kutamkwa midomoni mwetu ila uanarakati ndiyo unaoponza.
Aisee wanaharibu sanaAnglican ni kama hicho kitu kipo sijui shida ni nini
Hakutaka makubwaAisee wanaharibu sana