Jeneza lilivyokataa kuingia kanisani kimiujiza

Yaani unataka kutuambia huko Sengerema hakuna watu wenye simu zenye kamera??!! Acheni uzushi kama wa kule wapi sjuwi mtu kageuka joka! Tukio kubwa kama hilo picha na video zingeshasambaa mtandaoni!
Mkuu ilikuwa ni zaman hivyo watu hawakuwa na sm za kamera
 
Kama nakuelewa mkuu sema huo mfano wa pombe ndo unautata kidogo
 
Hadithi yako nzuri na inamafundisho, lakini zaidi ya yote hata wewe urihusika ktk hatua zote za kuitunga.

Ahsante kwa ushiriki mwema.
Hii si ya kutunga mkuu ni true story
 
Ok mwaka gani na marehemu alikuwa anaitwa nani? kuwa huru hapa tunatumia fake ID.
Mwaka nitakwambia lakin marehem sitakwambia kuwa alikuwa anaitwa nan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…