Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #81
Mkuu ilikuwa ni zaman hivyo watu hawakuwa na sm za kameraYaani unataka kutuambia huko Sengerema hakuna watu wenye simu zenye kamera??!! Acheni uzushi kama wa kule wapi sjuwi mtu kageuka joka! Tukio kubwa kama hilo picha na video zingeshasambaa mtandaoni!