Jeneza lilivyokataa kuingia kanisani kimiujiza

Jeneza lilivyokataa kuingia kanisani kimiujiza

Yaani unataka kutuambia huko Sengerema hakuna watu wenye simu zenye kamera??!! Acheni uzushi kama wa kule wapi sjuwi mtu kageuka joka! Tukio kubwa kama hilo picha na video zingeshasambaa mtandaoni!
Mkuu ilikuwa ni zaman hivyo watu hawakuwa na sm za kamera
 
Hapana sio kwamba alikuwa na dhambi nyingi huwa kuna kitu mtu anatoa kama hitimisho lake siku atakapokufa labda asizikwe bila jeneza lake kumwagiwa pombe na ikitokea hamjamwagia jeneza pombe basi halitabebeka
So huyo huenda aliwahi kusema asipelekwe katika jengo la ibada ndio kitu kilichotokea
Kama nakuelewa mkuu sema huo mfano wa pombe ndo unautata kidogo
 
Hadithi yako nzuri na inamafundisho, lakini zaidi ya yote hata wewe urihusika ktk hatua zote za kuitunga.

Ahsante kwa ushiriki mwema.
Hii si ya kutunga mkuu ni true story
 
Back
Top Bottom