Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Kiswahili chako kimeathiriwa na lugha ya mama!! Rudia kusoma uone makosa mamiPoa poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili chako kimeathiriwa na lugha ya mama!! Rudia kusoma uone makosa mamiPoa poa
Huyu jamaa ana kakitabu kamejaa story anachofanya yeye ni kufungua kurasa tu.We jamaa unaandika nyuzi kila baada ya dk 10
msukuma mwenzio huyo[emoji38] [emoji38] [emoji38]Walimupiga
Kifo kumukuta
kumutoa
Kumushusha
Ahsante kwa hadithi....
acha tu....msukuma mwenzio huyo[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nakwambia katoka kubakwa na bosi wake muda si mrefuWe jamaa unaandika nyuzi kila baada ya dk 10
Na buraza wetu mukubwa alisukumiwako kwenye uraisiHivi ninyi watani zangu WASUKUMA! mbona kiswahili kinawapa shida namna hii? muwe mnaongea kiswahili siku moja moja mkiwa majumbani sio kuligha tu!
Eti walimupiga,.....kumukuta...