Jeneza lilivyokataa kuingia kanisani kimiujiza

Jeneza lilivyokataa kuingia kanisani kimiujiza

Sengerema mjini tu hakuna nyumba ya kifahari hata moja sembuse Nyampande kuwa na majumba ya kifahari
 
Mbona nyuzi zako ni za uchawi uchawi tu? mrudie Mungu uachane na uchinga.
Hapana mkuu mimi ni mtu wa mungu sema hii nimeleta tu story ambayo nilishudia kwa macho yangu
 
Hivi ninyi watani zangu WASUKUMA! mbona kiswahili kinawapa shida namna hii? muwe mnaongea kiswahili siku moja moja mkiwa majumbani sio kilugha tu!

Eti walimupiga,.....kumukuta...
 
Back
Top Bottom