GreenHouse
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 280
- 262
- Thread starter
-
- #221
Dawasco bili yake sio mchezo, na vile ulisema angalau kwa siku zisipungue lita 200 (Ndoo kubwa 10).
Labda option ya kuvuna maji ya mvua, ambayo sasa wasiwasi wangu hii sio ya mwaka mzima kutokana na majira ya mvua, hivyo hata return itakua ndogo kwa kutolima mwaka mzima!!
Tunajadili tu, but otherwise nikishasafisha shamba lazima nikuone!!
Umejaribu Bobby,
Lakini ushajiuliza hayo maji ya dawasco yanapatikana wapi? Labda tufanye umeunganishwa kwenye bili je inaruhusiwa kumwagilia mboga maji ya kawaida ya kwenye mabomba?
Na kama hairuhusiwi au haifai means utahitajika kuyanunua, je ushajiuliza utayanunua kwa Tshs ngapi?
Tuseme 200lita = Ndoo kubwa 10, pengine @ Tshs 500/Ndoo 1, hivyo = Tshs 5,000/= kwa umwagiliaji kwa siku. Labda isiwe nyingi sana but ushajiuliza hayo maji utayanunulia wapi?
Na ushajiuliza huko atakapoyatoa yatakua ni yaleyale uliyoyapima mwanzo?
Nilifikiri chanzo cha mto au kisima yanakua ni hayohayo always, Pengine dawasco ni bora zaidi but sidhani kama inaruhusiwa, nimefikiri tu, sina uhakika Bobby!!
mm nipo dar kwa ss na eneo kakufanya shughuli hyo ipo lakini mwanza na kama ilivyo mwanza ni sehem ya miinuka kwa kiasi kilimo hicho cha greenhouse kita faa kweli
Inategemea Na muinuko ukoje? kama ni zaidi ya degrees 30 (kipenyo) basi halitofaa mpaka lisawazishwe au lijengewe msingi na kisha udongo kujazwa. Au kama si mkali sana basi panasawazishwa na kulimwa bila shida. cha muhimu ni kutengeneza njia za maji ya mvua kupita ili yasije kusumbua structure ya greenhouse
Ni kweli bili ya dawasco itakugharimu lakini maji ya aina yoyote ile hayapatikani bure. Kisima kinahitaji pump hivyo kuhitaji umeme either wa Tanesco, Solar au Generator, na zote hizo ni gharama japo si kubwa.
Unaweza kuvuna lita elf 50 za maji kwa mvua za wiki moja tu.
Mfano mzuri ni jana usiku. Mvua iliyonyesha jana dar kwa mtu ambaye tayari ana tank la kuhifadho maji ingetosha kabisa kujaza maji ya matumizi ya mwaka mzima au miezi kama 9. Hata kama mvua si za kila mwezi lakini sidhani kama inaweza kupita miezi 9 bila mvua kunyesha.
Karibu sana.
Ni kweli bili ya dawasco itakugharimu lakini maji ya aina yoyote ile hayapatikani bure. Kisima kinahitaji pump hivyo kuhitaji umeme either wa Tanesco, Solar au Generator, na zote hizo ni gharama japo si kubwa.
Unaweza kuvuna lita elf 50 za maji kwa mvua za wiki moja tu.
Mfano mzuri ni jana usiku. Mvua iliyonyesha jana dar kwa mtu ambaye tayari ana tank la kuhifadho maji ingetosha kabisa kujaza maji ya matumizi ya mwaka mzima au miezi kama 9. Hata kama mvua si za kila mwezi lakini sidhani kama inaweza kupita miezi 9 bila mvua kunyesha.
Karibu sana.
Jibu swali, tomatoes zinahitaji jua ama hazihitaji jua????Do I really need to comment here??
Sehemu nilizohighlight zinaonyesha kabisa hujasoma Uzi mzima. Soma uelimike kwanza, Maswali yako yote yapo kwenye hii hii thread.
NB: Kwanini Unadhani mimi ni MKENYA?? And If i was, Whats wrong with it? Waliokuja kuongea nami, waliopiga simu, waliocomment kwenye hii thread watakushangaa sana.
DONT BE JUDGMENTAL.
Kunaweza kupatikana Tank lenye kutosha labda lita 50, au nijenge bwawa chini jirani?
Maana kweli kama mtu unalima hiki kilimo, hii mvua sio ya kuiacha iende
bure!!
Hapa umenigusa sana mkuu nisikuharibie uzi tutaongea mengi sana kwenye hili la uvunaji wa maji kwa matumizi ya Muda mrefu nikija Kukuona
Mtaji wa mil4.5 utakusimamisha pazuri sana mpaka kwenye kuvuna, then gharama ndogo ndogo za hapa na pale zitafuata bila formula, mf unapoona kuna dalili ya ugonjwa basi utanitafuta au kutafuta agronomist aliye karibu nawe kisha tukushauri ufanyeje, hapo utanunua dawa tu za kupambana na magonjwa yaliyojitokeza, au gharama za kufata mbolea za asili kwa ajili ya kutop dress nk.Asante kwa jibu zuri mamaNA. naomba kuuliza pia natakiwa kua na mtaji wa kiasi gani ili niweze kuanzisha kilimo hiki. yani kwa level ya chini kabisa. nitashukuru nikipata jibu itanisaidia kubadili maisha yangu pia
Jibu swali, tomatoes zinahitaji jua ama hazihitaji jua????
Kuhusu jua, umesema greenhouse kazi yake kuzuia jua, halafu ukasema tusijenge greenhouse sehemu ambayo ina miti ya kuzuia jua! Which means tutafute sehemu yenye jua! Then we don't need the greenhouse!!!!
Nimejuaje wewe Mkenya? Kwa sababu zamani miaka ya sabini na themanini ndio tulikuwa tunakuwa wowed na bidhaa za Kenya, leo hii ukitangaza biashara unasema eti kinatoka Kenya kama ndio selling point yako unaonekana ni lazima uwe wa kuja kutoka Kenya. I mean, of all the places, Kenya?
Mtaji wa mil4.5 utakusimamisha pazuri sana mpaka kwenye kuvuna, then gharama ndogo ndogo za hapa na pale zitafuata bila formula, mf unapoona kuna dalili ya ugonjwa basi utanitafuta au kutafuta agronomist aliye karibu nawe kisha tukushauri ufanyeje, hapo utanunua dawa tu za kupambana na magonjwa yaliyojitokeza, au gharama za kufata mbolea za asili kwa ajili ya kutop dress nk.
Ukipitia post namba 164, page 9 ya uzi huu utaona mchanganuo mzima wa bei nimeuorodhesha hapo.
Karibu sana.
Pls naomba unitumie mchanganuo, nafikiria kuuweka goba, josephpeter205@gmail.com
Please do the same to rabiahhassan88@yahoo.comTayari Ndugu. Karibu sana.
Habari nzuri sana hii. Intertek International Tanzania wako pale kurasini nyma ya chuo cha Diplomasia kuna barabara ya rami inakwenda Uhamiaji kama mita 100 kushoto mkabala na Kanisa la RC wana maabara pale na wamekuja na product moja inaitwa Precision Farming. wanatest Soil kwa dolla $ 7 tu kwa kila sample ni kama Tsh 11200/= kwa rate ya 1600 per dola... jaribu kuwatembelea pia.
Please do the same to rabiahhassan88@yahoo.com
Cost analysis should also indicates price of all other required materials for construction of this greenhouse including wooden poles, suggested simtank-wall/dam, Water pump, water pipes, seeds, e.t.c please.
Thanks
Habari nzuri sana hii. Intertek International Tanzania wako pale kurasini nyma ya chuo cha Diplomasia kuna barabara ya rami inakwenda Uhamiaji kama mita 100 kushoto mkabala na Kanisa la RC wana maabara pale na wamekuja na product moja inaitwa Precision Farming. wanatest Soil kwa dolla $ 7 tu kwa kila sample ni kama Tsh 11200/= kwa rate ya 1600 per dola... jaribu kuwatembelea pia.