Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

Asante MamaNa, mi nina eneo lingine kibaha kama robo hekari ila ishu ni maji je naweza pata msaada wa jinsi gani ya kuchimba kisima ikiwezekana na kusurvey eneo kabla ya kuanza uchimbaji,nategemea msaada wako,Thanks..

Inawezekana kabisa, nipigie simu tutalijadili hili kwa kirefu.
 
Kuna watu wengi sana wamenipigia na kuomba niwasaidie kufanya mchakato wa kuandika mchanganuo wa kuomba mkopo bank (bankable business plans and proposals) au taasisi za fedha ili wafanikishe mradi huu.
Habari njema ni kwamba, tumeingia makubaliano maalumu na kampuni moja hapa nchini (biznocrats consulting enterprise) inayojihusisha na kuandika michanganuo ya kibiashara, ushauri wa kifedha, accounts nk na wamekubali kuwaandikia wateja wetu wote michanganuo hiyo kwa gharama ya asilimia moja tu (1%) ya mkopo Minimum 500,000 na wanakuhakikishia hautokosa mkopo wa aina yoyote.
Kama unahitaji huduma hii, tuwasiliane ili tuweze kufanikisha hili pamoja.

Karibuni sana.
 
Somo zuri
Ningependa kufanya mradi huu hapa arusha ila kabla ya kuji commit ningeomba unitumie mchanganuo/maelezo kwenye mec_ki@yahoo.com ningependa kutembelea shamba la mfano wiki ijayo juma tatu,
 
Karibu sana, Mchanganuo nimeshauandika kwenye post namba 164 katika thread hii hii.
Karibu sana.
NB: Nimeshakutumia.
 
Karibu sana, Mchanganuo nimeshauandika kwenye post namba 164 katika thread hii hii.
Karibu sana.
NB: Nimeshakutumia.

Samahani kama swali langu liko nje ya mada naomba kujua kidogo kuhusu shed nets na matumizi yake,Je tofaoti yake na green house ni nini? Nazo unazisupply?
 
Zina uwezo wa kuzuia jua

Greenhouse inajengwa kwenye eneo lililo wazi, lisilo na miti mirefu inayozuia jua...

kwa gharama nafuu kabisa kutoka nchi ya Jirani (kenya).
Umesema Greenhouse ina faida ya kuzuia jua, lakini tutafute mahala ambapo hakuna miti ya kuzuia jua! Which means tunahitaji jua!

I mean, do the tomatoes need the sun or they don't need the sun? Kama hatuhitaji jua then kupanda chini ya miti inayozuia jua is the way to go, au kama tunahitaji jua then hatuhitaji Greenhouse! Wanasema Wakenya mmekuja Tanzania kuchukua kazi kirahisi kwa sababu ya weledi wa mawasiliano, kujieleza kwenyewe ndio huko?
 
Do I really need to comment here??
Sehemu nilizohighlight zinaonyesha kabisa hujasoma Uzi mzima. Soma uelimike kwanza, Maswali yako yote yapo kwenye hii hii thread.
NB: Kwanini Unadhani mimi ni MKENYA?? And If i was, Whats wrong with it? Waliokuja kuongea nami, waliopiga simu, waliocomment kwenye hii thread watakushangaa sana.

DONT BE JUDGMENTAL.
 
Just forgive him!
 
Samahani kama swali langu liko nje ya mada naomba kujua kidogo kuhusu shed nets na matumizi yake,Je tofaoti yake na green house ni nini? Nazo unazisupply?

Bila ya samahani, unauliza shed nets kama za car park?? mimi sisupply hizo.
Zile zinaweka kivuli tu, lakini zinapitisha mvua, hazichuji jua kwa dhamira ya kilimo.
 
Lady Ra, si kweli kwamba chanzo kikubwa ni mto au kisima. Maji yoyote yale yanafaa ilimradi yawe yamepimwa na kujua nini kipo ndani yake. Kuhusu kujua kama maji yapo au la, Makampuni ya wachimba visima yanavyo vifaa vinavyofanya kazi hii. Wanajua maji yapo wapi na umbali gani. Ukiwasiliana nao watakusaidia.

Eneo lenye muinuko sio tatizo sana kama muinuko sio mkali (less than 20 degrees angle), Linaweza kusawazishika kwa kujaza topsoil kutoka eneo jingine na kuwekewa msingi kidogo, japo eneo lisilo na muinuko ndio ideal kwa shughuli hii.

Site visit inategemea na sehemu unayotaka kuweka greenhouse ilipo, inategemea na KM nitakazoendesha kuja kwako. Mostly ni hela ya mafuta tu kama ni dar es salaam au nje kidogo ya mji, kwa mikoani itatofautiana na mkoa una umbali gani kutoka Dar, mf bei ya kwenda mwanza itatofautiana na bei ya kwenda kilwa, zanzibar au morogoro nk... Ushauri ni bure kabisa, haulipiwi.

Halo mamaNa,

Kwani kunaweza kua na chanzo kingine kikubwa cha maji ukiacha hivi vya Mto na Kisima?
Pili nitakuchukua basi nikishamaliza mambo ya kusafisha shamba!!
 
Last edited by a moderator:
Halo mamaNa,

Kwani kunaweza kua na chanzo kingine kikubwa cha maji ukiacha hivi vya Mto na Kisima?
Pili nitakuchukua basi nikishamaliza mambo ya kusafisha shamba!!

Maji ya mvua yaliyovunwa, au ya dawasco yanaweza kutumika pia.

mamaNa may be maswali mengine utuache tujibu wanafunzi wako kutupima kama tumeelewa somo. Nitajaribu hili!

Mpendwa Lady Ra, kama nimekuelewa vzr mahitaji ya maji ya GH si mengi kivile. Mwalimu alisema kwa ile size ya ndogo ya GH (sikumbuki size) tank la 200 lt linatosha. Ambacho ni muhimu zaidi kwa gh ni content (quality) ya hayo maji kuliko quantity kwani consumption ya mimea ni ya kawaida. Kwa maneno mengine, hata maji ya dawasco yanaweza kufaa ili mradi yafanyiwe testing ijulukane yana nn ndani yake so utumie dawa gani ili kulinda mimea against hicho kibaya kilichomo kwenye maji yako.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mamaNa ngoja niiweke sawa serikali yangu nitakutafuta.Ubarikiwe!!!!
 
Last edited by a moderator:
Maji ya mvua yaliyovunwa, au ya dawasco yanaweza kutumika pia.
Karibu sana.

Dawasco bili yake sio mchezo, na vile ulisema angalau kwa siku zisipungue lita 200 (Ndoo kubwa 10).

Labda option ya kuvuna maji ya mvua, ambayo sasa wasiwasi wangu hii sio ya mwaka mzima kutokana na majira ya mvua, hivyo hata return itakua ndogo kwa kutolima mwaka mzima!!

Tunajadili tu, but otherwise nikishasafisha shamba lazima nikuone!!
 
mamaNa may be maswali mengine utuache tujibu wanafunzi wako kutupima kama tumeelewa somo. Nitajaribu hili!

Mpendwa Lady Ra, kama nimekuelewa vzr mahitaji ya maji ya GH si mengi kivile. Mwalimu alisema kwa ile size ya ndogo ya GH (sikumbuki size) tank la 200 lt linatosha. Ambacho ni muhimu zaidi kwa gh ni content (quality) ya hayo maji kuliko quantity kwani consumption ya mimea ni ya kawaida. Kwa maneno mengine, hata maji ya dawasco yanaweza kufaa ili mradi yafanyiwe testing ijulukane yana nn ndani yake so utumie dawa gani ili kulinda mimea against hicho kibaya kilichomo kwenye maji yako.

Umejaribu Bobby,

Lakini ushajiuliza hayo maji ya dawasco yanapatikana wapi? Labda tufanye umeunganishwa kwenye bili je inaruhusiwa kumwagilia mboga maji ya kawaida ya kwenye mabomba?

Na kama hairuhusiwi au haifai means utahitajika kuyanunua, je ushajiuliza utayanunua kwa Tshs ngapi?

Tuseme 200lita = Ndoo kubwa 10, pengine @ Tshs 500/Ndoo 1, hivyo = Tshs 5,000/= kwa umwagiliaji kwa siku. Labda isiwe nyingi sana but ushajiuliza hayo maji utayanunulia wapi?

Na ushajiuliza huko atakapoyatoa yatakua ni yaleyale uliyoyapima mwanzo?

Nilifikiri chanzo cha mto au kisima yanakua ni hayohayo always, Pengine dawasco ni bora zaidi but sidhani kama inaruhusiwa, nimefikiri tu, sina uhakika Bobby!!
 
Last edited by a moderator:
Nauza Materials na kusadia ujenzi wa Greenhouse za ukubwa mbali mbali. Kwa sasa Nina materials zinazoweza kucover greenhouse ya ukubwa wa mita nane kwa mita kumi na tano (8x15m), Zina uwezo wa kuzuia jua, kuzuia wadudu na vihatarishi mbali mbali vya mazao.
Bei ni Mil2.5 kwa materials pekeyake yaani 1/8 of an ancre drip lines, Polythene Cover (UV400 Protected sheets), 70% Micron insect Netting...Hizi zitakuwezesha kujenga Greenhouse yako bila matatizo. Kitakachohitajika kutoka kwako ni Wooden Poles (nguzo kama zinazojengewa baa za makuti nk), tanki la lita 500 la maji na maji ya uhakika.
Ntakupatia mafundi na muongozo mzima wa kujenga greehouse yako ili kufanikiwa.
Faida za kulima katika greenhouse ni nyingi mno, ikiwemo matumizi mazuri na sahihi ya ardhi, kwani kiwanja cha ukubwa wa mita 8x15 kinaweza kukupa Nyanya hadi Tani 30 kwa mwaka, Pilipili hoho tani 20 kwa mwaka na mazao mengine mengi yanayolimwa katika controlled environment.
Kuna wataalamu wa kutosha hivi sasa hapa Dar Es Salaam wanaoweza kukupa muongozo, mbegu bora na fertilizers za uhakika.. Tuwasiliane kwa simu namba 0714881500 ili kupeana muongozo..

Karibuni sana.
Ili uweze kufanikiwa katika kilimo hiki, unahitaji maji ya uhakika minimum lita 200 kwa siku kwa ajili ya kumwagilia nyanya kwa matone, Nitakupatia mabomba (driplines) zitakazokuwezesha kufanikisha hili.

NB: Kumbuka Greenhouse inajengwa kwenye eneo lililo wazi, lisilo na miti mirefu inayozuia jua...
Pia ni Muhimu kufanya Soil Test na Water Test ili ujue ni kipi unahitaji kuongeza kwenye ardhi yako ili upate mazao ya uhakika... Naweza kukusaidia kufanya soil na water test kwa gharama nafuu kabisa kutoka nchi ya Jirani (kenya). Gharama ni 250,000 kwa huduma hii pekeyake (Complete Soil analysis & Water Test).
NB::: UJENZI WA GREENHOUSE YA MFANO UMEKAMILIKA. IPO MIKWAMBE KIGAMBONI::: KARIBUNI SANA.

View attachment 140539 View attachment 140540 View attachment 140541 View attachment 140542 View attachment 140543 View attachment 140547

Kuna watu wengi sana wamenipigia na kuomba niwasaidie kufanya mchakato wa kuandika mchanganuo wa kuomba mkopo bank (bankable business plans and proposals) au taasisi za fedha ili wafanikishe mradi huu.
Habari njema ni kwamba, tumeingia makubaliano maalumu na kampuni moja hapa nchini (Biznocrats consulting enterprise) inayojihusisha na kuandika michanganuo ya kibiashara, ushauri wa kifedha, accounts nk na wamekubali kuwaandikia wateja wetu wote michanganuo hiyo kwa gharama ya asilimia moja tu (1%) ya mkopo na wanakuhakikishia hautokosa mkopo wa aina yoyote.
Kama unahitaji huduma hii, tuwasiliane ili tuweze kufanikisha hili pamoja.

Karibuni sana.

mm nipo dar kwa ss na eneo kakufanya shughuli hyo ipo lakini mwanza na kama ilivyo mwanza ni sehem ya miinuka kwa kiasi kilimo hicho cha greenhouse kita faa kweli
 
huhitaji kuwa degree holder kufanya hii kazi ...wahitaji mtaji na usimamizi, ka uko ofisini waweza funga kamera na kujua nini kinaendelea
 
mamaNa may be maswali mengine utuache tujibu wanafunzi wako kutupima kama tumeelewa somo. Nitajaribu hili!

Mpendwa Lady Ra, kama nimekuelewa vzr mahitaji ya maji ya GH si mengi kivile. Mwalimu alisema kwa ile size ya ndogo ya GH (sikumbuki size) tank la 200 lt linatosha. Ambacho ni muhimu zaidi kwa gh ni content (quality) ya hayo maji kuliko quantity kwani consumption ya mimea ni ya kawaida. Kwa maneno mengine, hata maji ya dawasco yanaweza kufaa ili mradi yafanyiwe testing ijulukane yana nn ndani yake so utumie dawa gani ili kulinda mimea against hicho kibaya kilichomo kwenye maji yako.

Asante ndugu kwa ufafanuzi. Ama kwa hakika hilo ndio jibu muafaka.
 
Back
Top Bottom