GreenHouse
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 280
- 262
- Thread starter
-
- #261
Hi kamanda. Kwa Banda kama hilo ni saizi gani? Na mfano ukipanda nyanya au hoho kwa kufata matakwa yake sahihi kwa vuno moja waweza pata kiasi gani?
Samahani ndugu, naomba usome thread nzima utafaidika zaidi. kwani maswali yote nimeshayajibu. Ama kwa swali lako, hakuna mvuno mmoja au miwili au mitatu, tunavuna kila wiki kwa mwaka mzima, na avarage ni kilo 300-700 kwa wiki kulingana na matunzo na ufuataji taratibu na muongozo wa kilimo.
Alhamdullilah..nilionaga hizi Greenhouse wakati naelekea mbeya.Nilipata sana shauku ya kufahama mahema yale..
Ahsante sana Mkuu mamaNa
Nchi zetu wanazoziita third world ingenuine products za zimemeza soko kwa kutokuwa na regulative borders kuzuia hizi products na sio industrialized kwenye kila jambo ndo mana tunadharaulika kwa kuletewa bidhaa fake mpaka radar, ndege ya Rais.
Hapana sina.Hivi wewe mamaNa una uhusiano na Syngenta ?
Abdulatif kwa nini uliamua kujiita mama naa,anyway nakuona TBC naendelea kukuamini kwenye kilimo hiki kama nilivyoanza kukuamini hapa JF nitakutafuta nikija Dar,much respect...
nimeona tbc one leo usiku .huyu jamaa yupo fit kweli,nilikuwa siyajuh haya masuala ya green house kwa upanaAbdulatif kwa nini uliamua kujiita mama naa,anyway nakuona TBC naendelea kukuamini kwenye kilimo hiki kama nilivyoanza kukuamini hapa JF nitakutafuta nikija Dar,much respect...
mkuu mamaNA mi nipo chuo kwa sasa ila nikimaliza hii kitu ipo kwenye damu aise,honera sana kaka kwa kufika hapo.pia umesema kuwa unazo dvd kuhusu kilimo hiki na vitabu twaweza vipata vipi ili wengine tuwe aware ambao hatujawahi soma masomo ya kilimo kama wewe ulivyoanza?Nipo kiongozi. Kwema?
mkuu mamaNA mi nipo chuo kwa sasa ila nikimaliza hii kitu ipo kwenye damu aise,honera sana kaka kwa kufika hapo.pia umesema kuwa unazo dvd kuhusu kilimo hiki na vitabu twaweza vipata vipi ili wengine tuwe aware ambao hatujawahi soma masomo ya kilimo kama wewe ulivyoanza?