Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

Gharama za materials ni none negotiable kwasababu sizitengenezi mimi, Lakini kwenye installation cost gharama inazungumzika kwasababu ni makubaliano kati yangu na mafundi. Pia Kama una mbolea yako au unaweza kupata lorry la mbolea sehemu, ni moja kati ya savings, au kama unaweza kuwa na tank la lita 200-500 ni vema zaidi... Lakini hiyo 2.5m ni ya kununua materials muhimu (polythene films, insect netting, drip lines na nursery set kwa ajili ya kukuzia miche ndani ya greenhouse)
Ahsante sana...
 
Ni gharama sana ila ukipatia unatoka kwa kweli
 
Niliwahi kusikia soil test inafanyika chuo cha ufundi Arusha lakini ilikuwa kwaajili ya ujenzi sijui kama kilimo na ujenzi test zake ni tofauti sana.
 
yaani kama umekuja muda muafaka, ila materials unatyoa kenya au hapa tz unaofisi yako? iko mtaa gani ofisi yako hapa tz, nataka kukutana na wewe unishauri mengi zaidi nimeangaika mpaka nikasema basi
 
yaani kama umekuja muda muafaka, ila materials unatyoa kenya au hapa tz unaofisi yako? iko mtaa gani ofisi yako hapa tz, nataka kukutana na wewe unishauri mengi zaidi nimeangaika mpaka nikasema basi

Nipo dar, nipigie kwa namba hii 0714881500 tutaongea mengi. Material yanatoka israel. Tanzania sifahamu kama kuna kampuni inauza. Najua balton wanauza steel tunnels zilizokuwa covered na polythene sheets, ila option ya kujenga mwenyewe hawana. Bei yao ni 7.2m bila vat.
 
Hii nimeipenda kuna wakati nilitaka kufanya huu umwagiliaji kwa njia ya drip lakini sikujua nianzie wapi,nikaenda hadi pale Mikocheni zamani pakiitwa Minazi pale ni kituo cha utafiti wa mbegu GMO na mambo ya green house,nikaambulia tu blah balh,panapo majaliwa mwakani nitamtafuta MamaNa ngoja nihifadhi namba zake za simu.Asante MamaNa kwa huu uzi muhimu,haya mambo ndio yanatakiwa na sio kila siku matangazo ya kuuza simu na magari
 
Karibu sana. Kwakweli nchi haiwezi kukwamuka kwa biashara za uchuuzi. Tukizalisha zaidi ya tunavyotumia ndio mwanzo mzuri wa kufanikiwa. Mfano hai tunao kwa jirani zetu waKenya, Supermarket zetu zote zimejaa bidhaa zao, na bado tunawauzia mahindi na alizeti kisha wanatuletea bidhaa zitokanazo na mazao yetu wenyewe kutuuzia.
 
Vp kuhusu watu walioko mikoani mfano Arusha anaehitaji kufungiwa green house mnaweza fanya?
 
Inawezekana kabisa, hakuna shida yoyote. Karibu sana.

Kwa wale wanasafiri kwa njia ya Dar Mby, ipo moja imejengwa Rungemba kabla hujafika Mafinga mkono wa kushoto kama unakwenda Mby. Ukivuka kidaraja angalia kushoto kwako au kulia kwako kama unakuja Dar mara baada ya kupita Rungemba.

Hii tekinolojia italeta mapinduzi sana ktk kilimo, cha msindi tujiandae kusindika mazao yetu wenyewe.
 
May God Bless you this is what I was looking for
 
Kwa wale wanasafiri kwa njia ya Dar Mby, ipo moja imejengwa Rungemba kabla hujafika Mafinga mkono wa kushoto kama unakwenda Mby. Ukivuka kidaraja angalia kushoto kwako au kulia kwako kama unakuja Dar mara baada ya kupita Rungemba.

Hii tekinolojia italeta mapinduzi sana ktk kilimo, cha msindi tujiandae kusindika mazao yetu wenyewe.

Kiongozi hapo kwenye nyekundu umeongea jambo la msingi sana.
 
Kiongozi hapo kwenye nyekundu umeongea jambo la msingi sana.

Sio lazima kuwa na plant kubwa kivile, small scale factories zinatosha. Siku moja nilitembelea kiwanda cha Tomato/Chilli sauce cha Dabaga Veg. fruit canning cha Ipogoro Iringa, nikikomaa naweza kuwa nacho na nikaokoa nyanya za ndugu zangu wengi tu.

Kinyume na hivyo, mimi na wewe tutabaki kuwazalishia jirani zetu malighafi za viwanda vyao.
 
Ngongo, binafsi uzi huu umenikamata kwa ufupi soil test ya uhandisi ujenzi na kilimo ni tofauti sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom