Mkuu sijamanisha uwanja WAO no namanisha we mmiliki WA hoteli nenda NJE huko ya mji Jenga hotel weka na uwanja. Ukienda Dodoma KULE Nala unapata ploti la kufa MTU Jenga HOTELI weka uwanja ALIKUA TIMU MBALIMBALI uwanjani kwako. Zikjua Kuna uwanja HAPO HAPO INAKUA nafuu KWaoNext to impossible to get a plot near the football stadium /pitch
Uwanja unao hitajika ni WA mazoezi SI mkubwa, no just a pitch. NDO MANA case study nikasema uwanja WA karatu. Nenda NJE huko ya mji CHUMA lieneo unazani HUYU jama KWENDA KUJENGA karatu WATU walimuonaje? SI walichukulia POA. Leo ana host international competition. BADO TIMU kubwa KUWEKA pre season TU. Anajipigia zake helaYes Ina hitaji mtaji hasa NDO MANA nikasema wenye uwezo.
Kwishaaaa
sawa kabisa. hapo nimekupata. Inaweza kuwa investment zuri. Shida je TFF and other mamlaka za mipira watakupa mechi za kuchezea huko? Roho mbaya na politics za fitina kwa waafrika, ngozi nyeusi.Mkuu sijamanisha uwanja WAO no namanisha we mmiliki WA hoteli nenda NJE huko ya mji Jenga hotel weka na uwanja. Ukienda Dodoma KULE Nala unapata ploti la kufa MTU Jenga HOTELI weka uwanja ALIKUA TIMU MBALIMBALI uwanjani kwako. Zikjua Kuna uwanja HAPO HAPO INAKUA nafuu KWao
Kwishaaaaaaaa
TFF wanakuwa wanaingilia hadi viwanja binafsi .sawa kabisa. hapo nimekupata. Inaweza kuwa investment zuri. Shida je TFF and other mamlaka za mipira watakupa mechi za kuchezea huko? Roho mbaya na politics za fitina kwa waafrika, ngozi nyeusi.
kama una vigezo una ruhusiwa TU huu uwanja WA karatu ni pitch TU. SI majukwaa pia muheshimiwa karia NDO aliufungua kipindi hicho nakumbuka SANAsawa kabisa. hapo nimekupata. Inaweza kuwa investment zuri. Shida je TFF and other mamlaka za mipira watakupa mechi za kuchezea huko? Roho mbaya na politics za fitina kwa waafrika, ngozi nyeusi.
Ndio lakini nmeshangaa huu WA karatu kapewa ku host cecafa HAPO NDO nikashtuka. Kumbe Kuna vimashindano vidogo UNAWEZA pewa. HIYO ni PESA JAMAA anavuta SASA. Alafu huu uwanja pia uli host cecafa under twenty juzi TU. HAPO kama Kuna mahoteli we ni full house booked unapiga PESA TU.Wazo zuri nafikiri huo uwanja Kama ulivyosema unatumika kwa mambo mawili mazoezi ya timu na pre season.
Al hilal hakukatazwa kushiriki ligi yetu tena TFF ndio waliwaalika ila wao ofa ya mauritania iliwavutiaNimefatilia michuano ya cecafa inayo ENDELEA karatu nimefurahi SANA. Lakini nikajiuliza huu uwanja MBONA UKO VIZURI nani mmiliki wake ILI kama atapata NAFASI ya kunisikiliza tunaweza peana USHAURI.
Tetesi Zina dai ni kijana TU SI mzee Wala bilionea mkubwa nchini nikashtuka. Wengine wakadai ni kampuni ya black rhino holding ILA mmiliki wake ni kijana TU alichungulia fursa akawekeza. Samahani kama tapotosha nirekebishwe inasemekana anaitwa Nickson Maliki.
Tuachane na hayo hayatuusu. Lengo LANGU NILITAKA kutoa USHAURI JUU ya fursa ya michezo hususabi mpira WA miguu kwa SASA. Dunia inakumbwa na machafuko pia nchi yetu inazidi kuandaa michuano MBALIMBALI nchini, nikajiuliza JE matajiri wetu WAMESHA ona fursa HII.
SABABU ya TIMU ya Kenya kususa cecafa inasemekana miundo mbinu ya uwanja waliopewa kuifanyia mazoezi HAkUA na ubora wakapata shaka KUHUSU afya ya wachezaji WAO. Pia hoteli waliopewa haikuwaridhisha, wakajitoa kushiriki michuano hiyo. KUMBUKA afcon itafanyika hapohapo ARUSHA JE tumejifunza JAMBO?.
Niwakati SASA wamiliki WA hoteli MBALIMBALI nchini hususani mikoa yenye miundo mbinu ya kimchezo kutenga eneo la uwanja WA mpira WA miguu. Namanisha ujenzi WA hoteli uendane na uwanja WA mpira WA miguu kwa ajili ya kuzivuta TIMU MBALIMBALI nchini KWENYE pre season au michuano MBALIMBALI kama kijana kama HUYU kaweza na amini wengine pia wataweza.
TIMU zitashawishika kufikia KWENYE hoteli yAKO kutokana na kujitosheleza kwa mahitaji Yao. TIMU ka al hilal ilitaka kushiriki ligi ya tanzania tukaikataza, nilishangazwa sanaa alafu tumekomaa ETI kupromoti utalii SASA watalii wanakuja mnawakata TENA unazani al hilal angetuachia shingapi kwa msimu MZIMA?.
Ni mawazo YANGU TU WAKUU na amini Kuna WATU wana mawazo Bora watakuja kuongezea na WAO.
Kwishaaaaa
Ndio lakini nmeshangaa huu WA karatu kapewa ku host cecafa HAPO NDO nikashtuka. Kumbe Kuna vimashindano vidogo UNAWEZA pewa. HIYO ni PESA JAMAA anavuta SASA. Alafu huu uwanja pia uli host cecafa under twenty juzi TU. HAPO kama Kuna mahoteli we ni full house booked unapiga PESA TU.
Kwishaaa
Kama ana akili BIASHARA ya uwanja WA mpira SIKU HIZI una KAZI nyingi. Wasanii WA ulaya na marekani hupiga show KWENYE VIWANJA vikubwa. Real Madrid hukodisha uwanja WAO kwa shughuli za harusi. Mambo ya shughuli za kitaifa Kama mei Mosi. SIJUI mwenge we ni kupiga tu PESA WATU hawaja shituka toa offa KWENYE umiseta TIMU za ligi kuu kutumia kwa mazoezi na kambi kama singifa big star alishaweka kambi HAPO KWENYE huo uwanja karatuMimi nimekuelewa .
Katika biashara unaweza kutumia biashara moja ili kuikuza biashara nyingine .
Ikiwa uwanja wake upo na vigezo vyote muhimu the guy atapiga Sana hela hiyo 2027.
Unaweza ukaandika business proposal kwakutumia SWOTKama ana akili BIASHARA ya uwanja WA mpira SIKU HIZI una KAZI nyingi. Wasanii WA ulaya na marekani hupiga show KWENYE VIWANJA vikubwa. Real Madrid hukodisha uwanja WAO kwa shughuli za harusi. Mambo ya shughuli za kitaifa Kama mei Mosi. SIJUI mwenge we ni kupiga tu PESA WATU hawaja shituka toa offa KWENYE umiseta TIMU za ligi kuu kutumia kwa mazoezi na kambi kama singifa big star alishaweka kambi HAPO KWENYE huo uwanja karatu
Kwishaaaaaa