bro alex
JF-Expert Member
- Jul 15, 2025
- 1,889
- 2,294
- Thread starter
- #21
Ndo MANA nikashangaa kwa Nini huo uwanja umepewa kuchezeaha cecafa. Kwa Nini USIWE amri abeidTFF wanakuwa wanaingilia hadi viwanja binafsi .
Kama umeona uwanja wa yanga wa kigamboni na simba Bunju
Means hivi viwanja vinakuwa for mazoezi na pre season na sio kuchezea match