Jenga hoteli sambamba na uwanja wa mpira( pitch )tu, Utakuja kunishukiru

Jenga hoteli sambamba na uwanja wa mpira( pitch )tu, Utakuja kunishukiru

TFF wanakuwa wanaingilia hadi viwanja binafsi .

Kama umeona uwanja wa yanga wa kigamboni na simba Bunju

Means hivi viwanja vinakuwa for mazoezi na pre season na sio kuchezea match
Ndo MANA nikashangaa kwa Nini huo uwanja umepewa kuchezeaha cecafa. Kwa Nini USIWE amri abeid
 
Kwa Tz ilivyokuwa kubwa na nzuri, ingepaswa kila mkoa at least kuwe kuna facility moja ya namna hiyo.
Sijui tunakwama wapi?
Serikali imelala kuamsha huo uwekezaji.
TFF ndio kabisa, wapo kama hawapo.
Yule mama WA Namibia ka ahidi KUJENGA VIWANJA Saba, WATU wanaona mbali Kuna kombe la dunia ngazi za vilabu limenzishwa SASA HIVI ni WEWE TU nchi Yako kujipanga




Kwishaaaaa
 
Unaweza ukaandika business proposal kwakutumia SWOT

Ukawapelekea wakwekezaji ambao wana hela then wewe ukaifaidika na kupewa asilimia Fulani ya wazo lako.
Mkuu nilipo KUWA nafanya KAZI ya ulinzi zanzibar KWENY hoteli MOJA HIVI. SIKU moja walikua wageni wanawake WAWILI kutoka arabuni. Sasa asubuhi nimekaa JUU nacheki lindo akaja mama MmOJA akaniuliza naweza pita kuaangalia mazingira tafadhali NAMI nikajibu pita hakuna SHIDA.

Tukaanza STORI piga STORI SANA SASA jirani Kuna eneo liko wazi halafu ni ufukweni yule mama akaniuliza JE naweza muona mmiliki WA Hilo eneo lililo wazi, nmelipenda NATAKA ninunue. Mkuu nilichoka nikajisemea HUYU mama ana MILIONI mia nne au bilioni moja TU au kichoshana TU nikalimwambia mama haya MAeneO ni gharama Bora ukachekicheki NJE ya mji huko.

AKADAI kwani shingapi. Nika mdeshi inaweza KUWA MILIONI mia nne unazo mama. Akajibu MBONA PESA kidogo hiyoo. Nilichokaaaaaaa


Kwishaaaaaa
 
Hili ni bonge la wazo.
Unatafuta eneo huko nje ya mji, anajenga pitch safiii, unaweka hosteli facility za uhakika, hii ni lazima itakuwa booked na hizi events...
1. Pre season camp kwa vilabu mbalimbali.
2. Pre tornament camp kwa timu za taifa.
3. Institute competitions.
4. Mashindano mbalimbali.
Kaka ni connection TU ukipata umemaliza. Uwanja WA karatu ume host cecafa under twenty juzi TU SAIVI TENA unahost cecafa ya wakubwa nmeshangaa kumbe WATU wanamalengo UNAWEZA ona MTU anapoteza PESA kumbe kategesha.pesa haitafutwi inategwa



Kwishaaaaa
 
TFF wanakuwa wanaingilia hadi viwanja binafsi .
Kama umeona uwanja wa yanga wa kigamboni na simba Bunju

Means hivi viwanja vinakuwa for mazoezi na pre season na sio kuchezea match
Yanga wana uwanja wa mazoezi?
 
Pale cheka huwa wanafanyia sasa sijafatilia kujua ni wa kwao au hamna
Hawana ILA walipewa eneo kigamboni na Paul makonda enz HIZO mkuu WA mkoa dar. Hawajafanya CHOCHOTE pale


Kwishaaaa
 
Wazo ni Zuri sana.
Kufungamanisha Hotel, Gym, na training pitch ya kisasa.... fukwe nayo ikiwemo hapo tayari hiyo ni Heaven...

Badala ya kusafirisha timu kwenda Cairo kwa ajiri ya pre-season.....
Mambo yote yanafanyika humuhumo.

Akina Mamelodi au Tp Mazembe wakija nchini ndio wateja wako hao.
Watakuwa wanapishana tu.....huhitaji wala dalali...
 
Huo wa karatu
DAH HAPO SIWEZI jua ILA FANYA HIVI. Uwanja WA gwambina MWANZA una majukwaa na fensi na ulitumia chini ya bilioni tatu basi huo ni MILIONI mia mbili au mia hauzidi. HAPO namanisha na ununuzi WA eneo TENA HAPO umetumia injinia. Kama ni local TU bila injinia mkuu gharama ni NDOGO MANA hauna tofauti na shamba lililo fyekwa nyasi
 
Back
Top Bottom