Jenga kwako, usiridhike na vyumba / apartment za kupanga! ukifariki msiba utaombolezwa kwenye apartment? watoto wataishi wapi kodi ya mwezi ikiisha?

Ni aibu Sana Kwa mwanaume kuzurura kwenye nyumba ambazo wanaume wenzako waliamua kufanya maamuz magumu ya kujenga , kujenga ni mhimu Sana aisee .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…