Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Wanaume wamekuwa wachache sana. Ila wenye jinsia ya kiume wapo. Nikiwa napita mijini especially stand au kwenye masoko panatia huruma na maumivi sana. Vijana hawajui kwanini wanaishi, hawajui maana ya uwanaume, akili zimeishia kwa bangi, pombe na uzinzi.
Taifa la kesho limepoteza mwelekeo ambao hata hawaujui, sio afya. Sio muonekano. Sio akili. Sio usemi. UTU hakuna wanaishi ili waishe.

Vijana!!!!!!!!
kweli tutamudu ubaba?
Tutamudu majukumu kama waume?
Tutamudu majukumu kama Viongozi ktk jamii?
Tutakuza kweli watoto wakueleweka?
 
EMMYGUY, keisangora, Grahams, mshamba_hachekwi, Gily Gru someni ujumbe nilio quote
 
Ubaba na umama vyote vinatokomea kwa kasi.Vijana na vidada hawana tena maarifa ya kimaisha.Wanaishia kuchotwa na kila ingizo la kisasa.Utamaduni na desturi njema navyo vina mabawa siku hizi.Vinapaa.
 
Ubaba na umama vyote vinatokomea kwa kasi.Vijana na vidada hawana tena maarifa ya kimaisha.Wanaishia kuchotwa na kila ingizo la kisasa.Utamaduni na desturi njema navyo vina mabawa siku hizi.Vinapaa.
Vijana Hawa taki kupitwa na muda, wako bize na ufahari.
👉 Mabinti ni kubdilisha mabwana, madume ni kushindana kuwatumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…