Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Undava undava tu ukinikazia nami nakukazia tu sio kesi wala nini kila mtu na life lake, kula chuma hicho[emoji3166]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na siku ukifariki hao wanaoendesha , baiskeli na mikokoteni ndio watakao kuja kukuzika kwa wingi , kuliko hao walio na ranger rovers wenzio maana muda huo watakuwa ulaya wakifanta yao




Moral of the story , ,: YOU GOT TO KNOW THINGS TO KEEP , AND THINGS TO THROW AWAY ,



REGARDS. KENNY ROGERS ,,THE GAMBLER
 
I mean no malice to nobody, endelea kuishi kimazoea. Kwani hao unao waona wana ipo siku watakuotea
👉Tunatengeza ngome imara tu, coz you are the product of the environment that surrounds you.
👉 Mwizi na mwizi hawawezi tengeneza metl au bakhressa company😁😀
Lexus SUV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…