Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Pote umeandika ukweli Ila umekosea hakuna Cha bure hata salamu huwa ana lake Jambo labda akuvute karibu kwa kukuandaa physiologically ili upatwe na utu. Kwani wewe unasalimiaga kila mtu usiyekuwa naye shida lakini ama unaitoa labda demu mzuri unataka utongoze,Mara konda umepungukiwa nauli ndio unamsalimia unamwambia shida yako.

Everything is all about trading na Trading Ni kuwa mnabadilishana value for personal or wealth creation or gain
 
Nakubali Kaka, nimependa jinsi ulivyo shusha maoni yako🙏💪
 
Back
Top Bottom